TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

Tatizo letu watanzania ni kukariri kila kitu tunacholishwa hata kama akili ya kawaida inagoma kukubali.

Sisi ni wazuri sana kwenye marketing na kufuata mwelekeo wa upepo.😢😭
 
... kama alikuwa amechanja itakuwa kinga yake ilikuwa very low! Kwa situation kama hiyo chanjo ni nadra sana kuweza kusaidia. RIP Hans Pope! Twendeni tukachanje tuache kutafuta vijisababu kujaribu kutunza legacy!
 
Kwa hiyo waache kutuaminisha kuwa ukichanjwa huwezi kufa tena. Nadhani kelele zingekuwa nyingi kama hangekuwa hajachanjwa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
... kama alikuwa amechanja itakuwa kinga yake ilikuwa very low! Kwa situation kama hiyo chanjo ni nadra sana kuweza kusaidia. RIP Hans Pope! Twendeni tukachanje tuache kutafuta vijisababu kujaribu kutunza legacy!
Hakuchanja
 
ufala huu hivi chanjo ya korona ni chanjo ya kifo, mtu anayechanjwa korona hafi? kuna chanjo ya kifo? f,.ala kabisa
Mbona ume-panic Sana? Nyie ndio mliosema mtu akichanjwa hatakufa kwa corona.
Sasa huyo kachanjwa na kafa kwa corona
 
Ukiisikiza kwa makini hiyo clip hapo juu,Hans(rip)hakuongelea kuwa alipata chanjo ya covid 19,tujifunze muda mwingine kuongea facts,anasikika yupo ICU na wamempa drips na sindano na elewa moja ta pre conditions za kuchanja unatakiwa uwe na afya njema wakati wa kuchanja,tukachanje na tuelewe 80%ya wagonjwa wetu wa covid19 waliopo mahospitalini hawajachanja hii chanjo,please please do the right thing,Go out na pata chanjo
 
Hiyo chanjo ya kukwepa kifo ikija naona hata mbu watachanja
Acheni fikra potovu kuwa angechanja asingekufa
Mda ukifika hakuna sababu zozote tena wala kukata Rufaa ya kifo

Poleni wafiwa
 
Back
Top Bottom