makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Kila nafsi Itaonja umauti, muhimu kujiandaa kwa hii safari nzito isiyo na marejeo(second chance)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hans Pope ni Pigo Kwa Nchi Kwa ujumla!!.. Biashara,Siasa na Michezo huyu ndio Mwamba sasa!!!.His soul may rest in peace!!R.I.P Zakaria, ni pigo kwa watani na soka la bongo kwa ujumla!
Baba yake alimwacha akiwa Mdogo!!.. Kwenye utawala wa Nyerere alikuwepo na alifanya yake!!Huyu si kizazi cha Nyerere ila baba yake.
Hatari kumbe Mzee Magoma nae hatunae!!..Sekta ya Usafirishaji naona imepata Pigo!!Apumzike kwa amani sana Hanspole. Poleni sana wana ndugu na familia hasa ukitilia maanani ni majuzi tu Mzee wenu Magoma Moto naye amefariki kwa hili hili la Covid
Wana family wenyewe wamesema wazi alikuwa covid wala sio aibu wala siri ni kawaida tu kama magonjwa mengine na jana walisema covid alizidiwa tena. chomeni chanjo hii kitu ipo na wala haoindoki leo wala kesho.Heshima gani mkuu, kwani ina julikana alikuwa na Covid19, kama wiki mbili zilizopita, sasa cjui , ndio imemuondoa au ni kingine!!R.I.P
Jamani family wenyewe wamesema Covid sasa cha ajabu nini hapa? covid imechukuwa watu wengi tu na inaendelea sema ndio hivyo kuna watu wanajulikana mitaani kwao tu huyu mzee mtu maarufu lakini tumezika wengi hasa watu wazima mitaani kwetu. Hii kitu ipo hakuna cha kushangaa na nzuri wana family wamesema ili wengine wasipuuze hili jambo.Una uhakika
Kizazi cha enz za nyerere kinaondoka mmoja mmoja kupisha new generations.
Ndio maana kina gulam dewji, bakhressa wameshawaachia watoto waendeshe biashara zao. Wao wanapiga sana ibada wanajiandaa kusepa duniani
Kwahiyo mtu ukichanja huwezi kufa? Kifo kipo, wakati wako ukifika haijalishi utaondoka tuhata marehemu huyu alichanjwa
Kiko wapi?
Uspanick ni mawazo yake.Heshim ani jambo la bure tu
Akiwa kapteni wa Jeshi la wananchi(JWTZ) Tanzania yeye na wenzake mwaka 1982 walitaka kumpindua Mwalimu Nyerere bahati mbaya mpango wao ulingundulika mapema sana.Alifanya Nini Mwaka huo
hujaelewa soma tena..Kwahiyo mtu ukichanja huwezi kufa? Kifo kipo, wakati wako ukifika haijalishi utaondoka tu