TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

Kila nafsi Itaonja umauti, muhimu kujiandaa kwa hii safari nzito isiyo na marejeo(second chance)
 
IMG-20210910-WA0171.jpg
 
Afande Captain Zskaria Hans Poppe one of the Greatest....Wewe ulikua Simba halisi...Lala vema Mwamba
 
Apumzike kwa amani sana Hanspole. Poleni sana wana ndugu na familia hasa ukitilia maanani ni majuzi tu Mzee wenu Magoma Moto naye amefariki kwa hili hili la Covid
Hatari kumbe Mzee Magoma nae hatunae!!..Sekta ya Usafirishaji naona imepata Pigo!!
 
Kuna age fulani watu wachome chanjo hii ya covid inaokoa maisha ya watu. Bibi yangu kapata Covid kaumwa kidogo tu lakini alikuwa tulimchoma chanjo kabla ndio ilimsaidia leo hii tuko naye maana kwa age yake ile na uhakika kama sio chanjo asingweza kumudu ile hali. Pata chanjo usidharau imethibitika inaokoa maisha data ziko hata UK juzi wametoa ni wazi chanjo inafanya kazi.
 
Heshima gani mkuu, kwani ina julikana alikuwa na Covid19, kama wiki mbili zilizopita, sasa cjui , ndio imemuondoa au ni kingine!!R.I.P
Wana family wenyewe wamesema wazi alikuwa covid wala sio aibu wala siri ni kawaida tu kama magonjwa mengine na jana walisema covid alizidiwa tena. chomeni chanjo hii kitu ipo na wala haoindoki leo wala kesho.
 
Una uhakika
Jamani family wenyewe wamesema Covid sasa cha ajabu nini hapa? covid imechukuwa watu wengi tu na inaendelea sema ndio hivyo kuna watu wanajulikana mitaani kwao tu huyu mzee mtu maarufu lakini tumezika wengi hasa watu wazima mitaani kwetu. Hii kitu ipo hakuna cha kushangaa na nzuri wana family wamesema ili wengine wasipuuze hili jambo.
 
Ni kama una guarantee ya kuishi maisha marefu sana!

Kuna watu kweli mna kiburi cha uzima.Hii covid inayotesa hadi watoto wadogo umeshaamini umeishinda kwa kuwa wewe ni kijana?
Kizazi cha enz za nyerere kinaondoka mmoja mmoja kupisha new generations.

Ndio maana kina gulam dewji, bakhressa wameshawaachia watoto waendeshe biashara zao. Wao wanapiga sana ibada wanajiandaa kusepa duniani
 
RIP, tutakukumbuka kwa kutuletea Chama, Miquissone, na Bwalya.
 
Back
Top Bottom