TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

R.I.P Zakaria, ni pigo kwa watani na soka la bongo kwa ujumla!
 
Katika kifo hiki ndio tunaweza kuujua unafiki na uzandiki wa wanahabari wa michezo nchini. Maana macho yatakuwa kwa manara badala ya msiba.
 
Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu

Marehemu Hans Pope alishawahi kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Usajili wa Simba kwa muda mrefu

Poleni wana Simba.

Source. Clouds FM
Pumzika mwamba ... Tutakutana huko
 
Dah R.I.P ,wana msimbazi tutakukumbuka sana
 
Matajiri wanaendelea kupukutika nchi hii.
His time is up..! Let him go!
giphy.gif
 
Back
Top Bottom