OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwa hiyo waache kutuaminisha kuwa ukichanjwa huwezi kufa tena. Nadhani kelele zingekuwa nyingi kama hangekuwa hajachanjwa... kama alikuwa amechanja itakuwa kinga yake ilikuwa very low! Kwa situation kama hiyo chanjo ni nadra sana kuweza kusaidia. RIP Hans Pope! Twendeni tukachanje tuache kutafuta vijisababu kujaribu kutunza legacy!
HakuchanjaKwa hiyo waache kutuaminisha kuwa ukichanjwa huwezi kufa tena. Nadhani kelele zingekuwa nyingi kama hangekuwa hajachanjwa
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hakuchanja... kama alikuwa amechanja itakuwa kinga yake ilikuwa very low! Kwa situation kama hiyo chanjo ni nadra sana kuweza kusaidia. RIP Hans Pope! Twendeni tukachanje tuache kutafuta vijisababu kujaribu kutunza legacy!
Mbona ume-panic Sana? Nyie ndio mliosema mtu akichanjwa hatakufa kwa corona.ufala huu hivi chanjo ya korona ni chanjo ya kifo, mtu anayechanjwa korona hafi? kuna chanjo ya kifo? f,.ala kabisa
hakuchanjwaMbona ume-panic Sana? Nyie ndio mliosema mtu akichanjwa hatakufa kwa corona.
Sasa huyo kachanjwa na kafa kwa corona
Hujaenda tu? Usisubiri muwe wengi... kama alikuwa amechanja itakuwa kinga yake ilikuwa very low! Kwa situation kama hiyo chanjo ni nadra sana kuweza kusaidia. RIP Hans Pope! Twendeni tukachanje tuache kutafuta vijisababu kujaribu kutunza legacy!
Hivi watu hawafi? Mbona kama akili zetu zimekuwa kama zimeuzwa kwa bei chee?Nmejiuliza hili baada ya kusikia hii Video Clip. Sababu kama sikosei naye alikuwa mmoja ya watu waliochanjwa.
View attachment 1933037