Zahir Zorro ni dini gani?

Mama yake Yesu ni myahudi ndio maana alivaa nikabu.

Sasa na wewe bibi ni myahudi?

Halafu ni "alivaa" sio "anavaa". Kwani huko shule ulienda kusomea ujinga?
Hapo chini umemaliza alienda kusomea ujinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jiulize wewe unaemfanya Yesu "Mungu" wajko wakati biblia ipo wazi katumwa kwa kwa wayahudi tu?
Bwana Yesu alipoongea na mwanamke Msamaria pale kisimani alimwambia hivi:
Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi. (Yohana 2:22).


Wokovu unatoka kwa Wayahudi kwa sababu hakuna taifa jingine lolote duniani ambalo lilimjua Mungu wa kweli – yote yalikuwa na dini za kipagani – iwe ni wazungu, Waafrika, Wahindi, Waarabu, n.k. Huo ndio ukweli.
Kusema kwamba Yesu hakuja kwa ajili ya mataifa yote hakuna tofauti na kusema kuwa, kwa vile Mungu alimuumba Adamu na Hawa peke yake, basi Yeye si wa familia yangu maana hakuniumba na mimi kama alivyomuumba Adamu.
Yesu aliongea na wanafunzi wake siku moja na akawaambia kuwa:
Ndivyo ilivyoandikwa, kwamba Kristo atateswa na kufufuka siku ya tatu; na kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake habari ya toba na ondoleo la dhambi, kuanzia tangu Yerusalemu. (Luka 24:46-47).
Je, unaona kwamba Injili inatakiwa kuanzia Yerusalemu? Na je, unaona pia kwamba anasema kwamba mataifa yote watahubiriwa kwa jina lake? Je, mataifa yote ni Israeli peke yake?
 
Ndio maana anatoa salam kama mkristo,aslam alekum......huwa nashangaa kwa nini wasimualike muislamu safi kama Hussein mwinyi anaongea lugha kiufasaha,na aya zinashuka vizuri.
 
Mti weye matunda mengi. Siwashangai wala hawatusumbui hao.
NABII WA UONGO ALIKUFA KWA SUMU K WA KUKATWA MSHIPA WA MOYO ANATUPWA KUZIMU KWA SABABU ALISEMA KAMA QURAN SIYO MANENO YA MUNGU NITAKATWA MSHIPA WA MOYO NA SIKU YA KUFA ALIKATWA MSHIPA WA MOYO KWA SABABU NI MUONGO

Quran ni uongo, na maneno yake yamezuliwa na muandishi wa Quran ni Muhammad Mwenyewe Kwa Ushahidi Huu
QURAN 69:44-46
44) Lau kama angelituzulia baadhi
ya maneno tu.
45) Bila shaka tungelimshika Kwa
mkono wa kulia.
46) Kisha Kwa Hakika tungeli-
mkata "MSHIPA MKUBWA
WA MOYO"


Ushahidi wa kuwa Quran imezuliwa na muhammad upo ktk

SAHIH AL-BUKHARI 4492

Imesimuliwa na Aisha "Mtume katika ugonjwa wake uliomuua, alisema, "O Aisha! Bado Nasikia maumivu yaliyo sababishwa na chakula Nilicho kula Khaybar na Sasa jamani "MSHIPA WANGU MKUBWA WA MOYO UNAKATWA NA SUMU HIYO
Huu ndio Ushahidi tosha kuwa Quran Sio maneno yake Mungu na yamezuliwa na kiapo chake mwenyewe muhamadi kilimmaliza
 
Akili zako ni mavi matupu
 
Shida ni watu kutotaka kuheshimu maamuzi ya mtu mzima. Mwanao anafata kwa kurithi dini/imani unayofuata mzazi, lakini anapokuwa mkubwa ana uhuru wa kufuata imani anayopenda mwenyewe. Mzee Zorro bila shaka anaheshimu hili.
 
Kwani picha zake huzioni? Kamvue basi.

Jiulize wewe unaemfanya Yesu "Mungu" wajko wakati biblia ipo wazi katumwa kwa kwa wayahudi tu?
Wapi Biblia imesema alitumwa kwa wayahudi tu?

Bibi unazeeka vibaya. Haya Yohana 3:16 inasema

"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda Ulimwengu hata akamtoa mwanaye wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele"
 
Wapi Biblia imesema alitumwa kwa wayahudi tu?

Bibi unazeeka vibaya. Haya Yohana 3:16 inasema

"Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda Ulimwengu hata akamtoa mwanaye wa pekee, ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele"
Usije ukaikana tu Biblia, soma hiyo...

Mat 15:24 Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
 
Ndio Dunia ya Vitoto vya uji wa lishe

huwezi kumuona mtu alivyo bila ya kupekecha pekecha mara kabila mara dini yake

sie enzi zetu hayo mambo hayakutuhusu kabisa
Dini yake itakusaidia nini
 
I am Mkuu wa Malawi anaitwa Sheikh Daniel

Mchezaji mpira wa zamani wa Nigeria aliitwa Rashid Yekini alikuwa Mkristo

Emmanuel Amunike alikuwa Mchezaji pia ni Muislam


Kuna watu wako busy na majina ya kiarabu na kizungu ku assess dini za watu
Mtoto wake anaitwa Hellen maunda zorro sasa unafikili ni dini gani kama sio mkristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…