We ni nani unayesema hazisamehewi? Hata kama mtu yupo hai akitubu hasamehewi?Dhambi zinazo samehewa nizile ulizofanya bila kujua , unazofanya ikiwa unekusufia na ukiwa na ufahamu sahihi hazisamehewi
Nikumwimbea rehema kwa MunguMwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7"
Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!
Majivuno yaka ishia hapo, naona hata kupiga picha aliona aibu.Umeandika sahihi kabisa, hqkuna kinachodumu milele, jana nimekutana na binti mmoja aliwahi kusumbua mno miaka 5-10 iliyopita, alikataa wachumba waliompenda kwa dhati kwa kiburi cha uzima na nyodo aliwaambia hawana hadhi nae sababu hawana hela hawzzi ishi nyumba ya kupanga au kupanda pikipiki, saiv kachumbiwa kwenye korido la Lodge, tena ndoa ya mke wa pili kutoka kwenye familia ya rc iliyojaa mapadre kaenda kuwa mke wa pili!!! Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwa
Saba hazitoshi,mwenzie jiwe aliondoka na tani Tano za fire extinguisher powder...Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7"
Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!
Mungu anasamehe dhambi zote isipokuwa dhambi ya kuabudu masanamu ukayanasibisha na Mungu...hao hawana msamaha wataangamiaDhambi zinazo samehewa nizile ulizofanya bila kujua , unazofanya ikiwa unekusufia na ukiwa na ufahamu sahihi hazisamehewi
Yani matashtiti yote kwisha hajapost picha wala video, tatizo bamtu wake ndo huyo ana swaga kama za watu wa Qnet kila kitu anakitolea maelezo mtandaoni ndo kustuka yeeeee huyu si fulani......maisha haya nyieeeMajivuno yaka ishia hapo, naona hata kupiga picha aliona aibu.
Kama anaamini kuna moto si afanye toba asione dhambi zake ni nyingi kuna watu wameua zaidi ya watu buku na zaidi kwahiyo zake ni za kawaida sana kwenye ulimwengu wa dhambi
Ni kweli. Kla kitu kitapita. Huyu jamaa ana kipaji cha muziki cha asili, sauti yake... utunzi wake... na hata yeye mwenyewe siyo mtu wa maringo. Ndiyo ... ni mtu anajipenda na kwenda na wakati lakini hana dharau kwa watu na hutamsikia anasimanga watu ''wafanye kazi'' kama wanavyofanya wanamuziki wengineCleopatra.
Zahir Ally Zorro - Nikikumbuka akiwa kwenye his prime ilikuwa hatari.
Nikimkumbuka Mohamed Ali - The World's Greatest
Kweli binadamu si kitu...Lets be humble you know.
Get Well Soon Mzee Zahir Ally Zorro.
Kuna sister mmoja kitambo alikuwa ana sema kitaa mi hamna hamna awe na mahari ya milioni 13, gari 2, nyumba za kutosha.Yani matashtiti yote kwisha hajapost picha wala video, tatizo bamtu wake ndo huyo ana swaga kama za watu wa Qnet kila kitu anakitolea maelezo mtandaoni ndo kustuka yeeeee huyu si fulani......maisha haya nyieee
Atakulaani shauri yakoKuna sister mmoja kitambo alikuwa ana sema kitaa mi hamna hamna awe na mahari ya milioni 13, gari 2, nyumba za kutosha.
Wahuni sio watu, siku hizi single mama ana piga kelele huyo.
si mpaka aolewe kwanzaAtakulaani shauri yako
Mungu anasamehe dhambi zote isipokuwa dhambi ya kuabudu masanamu ukayanasibisha na Mungu...hao hawana m
samaha wataanga
Labda Mungu unayemwabudu wewe ,tuliumbwa na kupewa akili za kufikiria yaani utashi kumfanya maamuzi sahihi dhambi inayosamehewa ni ile uluyofanya katika mazingiria ambayo ulikuwa huna namna labda kuokoa uhai wakoWe ni nani unayesema hazisamehewi? Hata kama mtu yupo hai akitubu hasamehewi?
Hahaa Good Morning Milionea 😉😉 wazee wa Qnet.....Amaruka "JOKO" kaenda kukanyaga "VIMA".Umeandika sahihi kabisa, hqkuna kinachodumu milele, jana nimekutana na binti mmoja aliwahi kusumbua mno miaka 5-10 iliyopita, alikataa wachumba waliompenda kwa dhati kwa kiburi cha uzima na nyodo aliwaambia hawana hadhi nae sababu hawana hela hawzzi ishi nyumba ya kupanga au kupanda pikipiki, saiv kachumbiwa kwenye korido la Lodge, tena ndoa ya mke wa pili kutoka kwenye familia ya rc iliyojaa mapadre kaenda kuwa mke wa pili!!! Mwanaume mwenyewe yupo kama wale wazee wa Qnet ,,,,, full kuchanganyikiwa
Kuna sister mmoja kitambo alikuwa ana sema kitaa mi hamna hamna awe na mahari ya milioni 13, gari 2, nyumba za kutosha.
Wahuni sio watu, siku hizi single mama ana piga kelele huyo.
Kwani huyu Mzee alikuwa kama uncle T???Mwanamuziki mkongwe nchini Mzee Zahir Ally Zoro ambaye pia ni baba mzazi wa Banana Zoro, amepost picha hii kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika maneno haya "Chilling at Kisota. Marafiki wameniombea Toba Leo hii, ili nisiende na Fire Extinguisher 7"
Mzee Zahir Zoro amesumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu, tumuombee aweze kupona na kurejea katika afya yake. Pia wanamuziki wenzake, viongozi, jamaa na marafiki ni busara kumjulia hali sasa, msisubiri afariki muanze kuandika risala ndefu zilizojaa unafiki.!