Zaidi ya 1,000,000 waajiriwa sekta ya Kilimo, mnaolalamika maisha magumu njoo shambani

Bibianna

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
474
Reaction score
163
Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji (Hotuba ya bajeti)

Hata hivyo programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
 
Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Shamba lake liko mkoa gani nami nikaombe kazi.
 
Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
He ! Kumbe anamiliki mashamba makubwa ya kuajili mamilioni ya watu! Au umekosea?
 
Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Turusie takwimu Bibinyanya kwa ajili ya elimu zaidi.
 
Unaweza ukatoa breakdown hao watu waliopata ajira ni za kufanya nini na salary yao ni kiasi gani na mkataba unasemaje ? Au kwako wewe nini maana ya ajira ?

Tuache kupiga Siasa hata kama Serikali ikiamua isifanye lolote kabisa lakini ikaacha pia kunyonya / matozo yao nadhani maisha ya mbangaizaji yatakuwa bora....

Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Zipo wapo hizo ajira wewe chawa? CCM haijaweza kuleta ajira hata laki moja. Hawawezi hao wahuni.
 
Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
huu ni UONGO mtupu
 
Back
Top Bottom