Kuna watu wana mashamba tatizo miundo mbinu .Nenda shambani utapata pesa
🚮Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji (Hotuba ya bajeti)
Hata hivyo programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
kazi zinaendelea vizuri sanaRais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji (Hotuba ya bajeti)