Mimi mwenyewe nimeajiriwaZipo wapo hizo ajira wewe chawa? CCM haijaweza kuleta ajira hata laki moja. Hawawezi hao wahuni.
Maadui wa nani?Machawa ndio maadui namba moja .
Maadui wa maendeleoMaadui wa nani?
Mumeohuyu jamaani ni nani
FAfanua mkuu, nyinyi ndo polepole anasema mnamuhujumu mamaRais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Kivipi yaani?Maadui wa maendeleo
Anahujumiwaje?FAfanua mkuu, nyinyi ndo polepole anasema mnamuhujumu mama
Watu wanatekwa, wanauawa, wanapotezwa, badala mumshauri akemee na kuchukua hatua kali, mnakesha mkumuimbia mapambio, eti anaupiga mwingi.Anahujumiwaje?
Takwimu kama za mtoa madaAnahujumiwaje?
😂😂Takwimu kama za mtoa mada
Mawe na mchanga ni madini pia.Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Hana jipyavipi kuhusu Mpina?
ga Tu! Acha kuwadanganya watu kilimo si rahisi hivyo kama unavyozaniRais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Uzuri wote tunaishi Tanzania, tunaona what's going on on the ground.Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Watoto na ndugu zake wanalima hayo mashamba, au wao shamba lao ni siasa?Kazi ya Rais Sio kuanzisha Shamba
kazi yako hii inahitaji capitalUnaweza ukatoa breakdown hao watu waliopata ajira ni za kufanya nini na salary yao ni kiasi gani na mkataba unasemaje ? Au kwako wewe nini maana ya ajira ?
Tuache kupiga Siasa hata kama Serikali ikiamua isifanye lolote kabisa lakini ikaacha pia kunyonya / matozo yao nadhani maisha ya mbangaizaji yatakuwa bora....
![]()
Ustawi wa Jamii; A Penny Saved is a Penny Earned; Serikali inaweza Kumpunguzia Mzigo wa Matumizi Mwananchi hivyo Kumwongezea Kipato cha Kutumia
Maadui wetu hawajawahi Kubadilika Umasikini, Ujinga na Maradhi..., Vilevile Mahitahi Muhimu ya Binadamu hayabadilika (Chakula Malazi na Mavazi); Karne ya sasa ambayo sio kila mtu anaweza kuchukua Jembe na kwenda kulima mihogo na kupata kitoweo Pesa inahitajika. Hii ndio itakupatia mahitaji...www.jamiiforums.com
Sio hivyo lakiniMawe na mchanga ni madini pia.