Shamba lake liko mkoa gani nami nikaombe kazi.Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Hizo ajira ziko wapi? Hivihivi wanasimama majukwaani wanasema tumejenga viwander 28,000. Wamekula kodi wamevimbiwa sasa wanatuona mataahira.
Nenda shambani utapata pesaHizo ajira ziko wapi? Hivihivi wanasimama majukwaani wanasema tumejenga viwander 28,000. Wamekula kodi wamevimbiwa sasa wanatuona mataahira.
Hizo ajira ziko wapi? Hivihivi wanasimama majukwaani wanasema tumejenga viwander 28,000. Wamekula kodi wamevimbiwa sasa wanatuona mataahira.
He ! Kumbe anamiliki mashamba makubwa ya kuajili mamilioni ya watu! Au umekosea?Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Turusie takwimu Bibinyanya kwa ajili ya elimu zaidi.Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
Shamba la bibi 🤣🤣🤣Shamba la mama
Zipo wapo hizo ajira wewe chawa? CCM haijaweza kuleta ajira hata laki moja. Hawawezi hao wahuni.Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.
huu ni UONGO mtupuRais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji, programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya Ushirika. Ajira hizi ni sawa na asilimia 13.6 ya ajira zote nchini zinazokadiriwa kufikia 8,000,000 zilizoahidiwa na chama cha mapinduzi CCM mwaka 2020.