Hawatakujibu. Ipo siku watatuambia barabara ya Dar to Mwanza via Dodoma Singida, Igunga na Tabora.Kidatu -Ifakara mbona ujenzi wake umeshakamilika?
Luhaga Mpina ana roho mbaya na unyonge mwingi wa nafsi. Anajua kuwa anao wafuasi na hata akiandika upupu atapata tu wa kumuunga mkono.SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)imesaini Mikataba saba ya ujenzi wa barabara itakayo tekelezwa kwa miaka minne yenye thamani ya shilingi Trillion 3.7 yenye urefu wa kilometa 2035 kwa kiwango cha lami.
View attachment 2660396
Mikataba hiyo imehusisha Barabara ya Kidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi - Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea Arusha – Kibaya – Kongwa Construction Of Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro - Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro - Singida Igawa .
Nyingine ni Songwe - Tunduma Masasi - Nachingwea - Liwale Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago - Maswa Construction Of Mafinga - Mtwango – Mgololo ambapo kila mkandarasi anayehusika na mradi mkubwa, atakua na timu nne za ujenzi katika kutekeleza Mradi.
Akizungumza June 16,2023 Jijini hapa kwenye hafla hiyo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ameeleza kuwa Barabara hizo zitajengwa Kwa kutumia utaratibu wa Engineering, Procurement, Construction and Financing (EPC + F).
Ameeleza kuwa utaratibu huo utaendelezwa katika miradi mingine mipya inayotekelezwa kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni kuwa Makandarasi wa miradi yote saba (7) wamepatikana na kueleza kuwa mara mradi huo utakapo kamilika utasaidia kufungua fursa za kiuchumi katika maeneo zinapopita na kwa Taifa kwa ujumla.
View attachment 2660397
Prof.Mbarawa ameeleza kuwa barabara zitakazojengwa zitapita katika Mikoa kumi na 13 na kufafanua kuwa Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Kwa Mpepo – Londo – Lumecha/Songea (km 435.8) inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo.
Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa yenye (km 453.42) inapita katika Mikoa ya Arusha, Manyara na Dodoma na inapita katika Majimbo ya Arusha Mjini, Arumeru Magharibi, Simanjiro, Kiteto na Kongwa; Barabara ya Handeni – Kiberashi – Kijungu – Kibaya – Njoro – Olboroti – Mrijo Chini – Dalai – Bicha – Chambolo – Chemba – Kwa Mtoro – Singida (km 384.33) inapita katika Mikoa ya Tanga, Manyara, Dodoma na Singida na inapita katika Majimbo ya Kilindi, Chemba, Kiteto, Singida Mashariki na Iramba Mashariki.
"Barabara ya Igawa – Songwe – Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma; Barabara ya Masasi – Nachingwea – Liwale (km 175) inapita katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na inapita katika Majimbo ya Masasi, Nachingwea na Liwale,"amesema
Kwa upande wa Barabara ya Karatu – Mbulu – Haydom – Sibiti River – Lalago – Maswa yenye (km 339), Waziri huyo amesema inapita katika Mikoa ya Manyara, Simiyu, Singida na Arusha na inapita katika Majimbo ya Mbulu Mjini, Mbulu Vijijini, Karatu, Iramba Mashariki, Meatu, Maswa Mashariki na Kisesa huku barabara ya Mafinga – Mtwango – Mgololo (km 81) inapita katika Mkoa wa Iringa katika Majimbo ya Mufindi Kusini na Mafinga Mjini.
Aidha amefafanua kuwa katika Mradi wa Barabara ya Igawa – Tunduma (km 218) ambao utajengwa kwa njia nne (4), imepangwa barabara hiyo ifanyiwe usanifu na ujenzi utakaowezesha kuifanya njia moja kuwa ya malori tu, na yatatumia njia hiyo kwa kulipia pia, itajengwa barabara ya mchepuo (ByPass) ambayo itapita Nje ya Jiji la Mbeya.
Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Mohamed Besta ameuzungumzia mradi huo kuwa wa kwanza kufanyika hapa nchini kutokana na ukubwa wake na kueleza kuwa mchakato wa zabuni za EPC+F ulifanyika kupitia ushindani wa uwazi ulioanza tarehe 27 Juni, 2022 ambapo jumla ya Makandarasi 129 walionesha nia.
Amesema Mchakato wa zabuni ulipitia hatua mbalimbali na hatimaye baada ya uchambuzi, ilibainika kwamba Makandarasi wanne (4) walikidhi vigezo vilivyowekwa
Mhandisi Besta amewataja makandarasi hao kuwa ni Kampuni ya China Civil Engineering Construction (CCECC) ikishirikiana na kampuni ya China Railway 19th Bureau Group Corporation Ltd (CR19) kampuni ya Sinohydro Corporation Ltd. kampuni ya China Overseas Engineering Group Co, Ltd (COVEC) pamoja na kampuni ya China Railway No. 4 Engineering Group Co. Ltd (CREC4)na Kampuni ya China Railway 15th Bureau Group (CR15G).
"Makandarasi hawa wote kupitia utaratibu wa EPC+F, watawajibika kufanya usanifu wa kina (Design) na kujenga barabara hizi kwa viwango na ubora ulioainishwa kwenye Mikataba na Vihatarishi vyote (risk) vinavyohusu usanifu wa mradi na muda wa ujenzi vitabebwa na Mkandarasi,"amefafanua.
View attachment 2660395
WANANCHI HAWATALIPIA BARABARA ZA UTARATIBU WA UJENZI WA EPC + F
Upigwe wewe Kwa lipi?Haya majina magumu magumu ndiyo yanatumika kutupiga
Kodi zetuUpigwe wewe Kwa lipi?
Wamekusikia watakufikiaHapo Masasi,Nachingwea-,Liwale wangeunganisha na Nangurukulu ingeleta maana kubwa sana..kuishia Liwale sioni kama itasaidia kitu..bado itakuwa hujafungua huo ukanda.
Au ingeanzia Nangurukulu,Liwale Nachingwea- kwa maana kipande cha Nachingwea- Masasi ni kifupi na angalau kinapitika.
Mnapigwaje sasaKodi zetu
Ahsante..maana bila ya hivyo ni sawa na kuvaa suti safi bila viatuWamekusikia watakufikia
Yaani yule Mwehu aliwaweza aisee Kwa propaganda mliiva haswaaa 😁😁😁[https://www]
Jukwaa la Siasa
Miaka minne ya Rais Magufuli: Ni maajabu tupu kwenye miradi ya barabara
Thread starterElitwege
Start dateAug 31, 2019
1 of 12Next Last
Watch
•••
[https://www]
Elitwege
JF-Expert Member
Aug 31, 2019
Add bookmark
#1
[https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji][https://emoji]
TUELEWANE.
Serikali imefanikiwa kukamilisha ujenzi wa barabara kama ifuatavyo:-
(i) Dodoma – Manyoni - (127)
(ii) Singida – Shelui - (Km 110)
(iii) Nzega – Ilula na Tinde - Isaka (Km 169)
(iv) Nangurukuru – Mbwemkuru - Mingoyo (Km 190)
(v) Mkurunga – Kibiti - (Km 121)
(vi) Pugu – Kisarawe - (Km 6.6)
(vii) Singida – Isuna - (Km 63)
(viii) Kyamyorwa – Buzirayombo – Geita (Km 220)
(ix) Kigoma – Kidahwe - (Km 36)
(x) Chalinze – Morogoro - Melela - (Km 129)
(xi) Tunduma – Songwe - (Km 71)
(xii) Dodoma – Morogoro - (Km 256)
(xiii) Tarakea – Rongai – Kamwanga - (Km 32)
(xiv) Rombo Mkuu – Tarakea - (Km 32)
(xv) Geita – Busisi - (Km 92)
Miradi ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji ni:-
(i) Manyoni – Isuna - (Km 54)
(ii) Kagoma – Lisahunga - (Km 154)
(iii) Tabora – Malagarasi – Uvinza – Kigoma (Km 364)
(iv) Ndundu – Somanga - (Km 60)
(v) Arusha – Namanga - (Km 105)
(vi) Tanga – Horohoro - (Km 65)
(vii) Mwandiga – Manyovu - (Km 60)
(viii) Masasi – Mangaka - (Km 54)
(ix) Singida – Babati – Minjingu - (Km 224)
(c) Kukamilisha ukarabati wa barabara zote ambao unaendelea na
ujenzi kwa kiwango cha lami ambao umekwisha anza katika
Barabara Kuu na Barabara za Mikoa kama ifuatavyo:
• Manyoni – Isuna (Km 54);
• Kagoma – Biharamulo – Lusahunga (Km 154);
• Ndundu – Somanga (Km 60);
• Sumbawanga – Matai – Kasanga (Km 112);
• Marangu – Tarakea – Rongai – Kamwanga (Km 98);
• Minjingu – Babati – Singida (Km 222);
• Korogwe – Handeni (Km 65);
• Mziha – Turiani – Magole (Km 84.6)
• Dumila – Kilosa (Km 63)
• Bariadi – Lamadi (Km 71.8);
• Mbeya – Chunya – Makongolosi (Km 115);
• Tanga – Horohoro (Km 65);
• Masasi – Mangaka (Km 54);
• Makofia – Msata (km 64);
• Mwandiga – Manyovu (km 60);
• Handeni – Mkata (km 54);
• Kisarawe – Maneromango (Km 54);
• Njombe – Makete (Km 109).
• Barabara ya Kilwa/DSM (km 12);
• Barabara ya Mandela (km 16);
• Msimba – Ikokoto – Mafinga (Km 219);
• Arusha – Namanga (Km 105);
• Chalinze – Segera – Tanga (Km 245); na
• Isaka – Lusahunga (km 242)
• Kwasadala-Masama (Km 12.2);
• KiboshoShine-Kwa Raphael-International School (Km 43);
• RauMadukani-Mawela-UruNjari (Km 12.5);
• KiruaNduoni-Marangu Mtoni (Km 31.5);
• Kahama Mjini (Km 5).
(d) Kuanza Ujenzi mpya na ukarabati kwa Kiwango cha Lami Barabara
Zifuatazo:
40
• Bunda – Kisorya – Nansio (Km 93);
• Tunduma – Sumbawanga (Km 230);
• Rujewa – Madibira – Mafinga (Km 151);
• Babati – Dodoma – Iringa (Km 523);
• Sumbawanga – Kanyani – Nyakanazi (Km 562);
• Nata – Fort Ikoma (Km 141);
• Nzega – Tabora (Km 116);
• Manyoni – Itigi – Tabora (Km 264);
• Ipole – Koga – Mpanda (Km 255);
• Makurunge – Saadani – Pangani - Tanga (Km 178);
• Matai – Kasesya (Km 65);
• Mangaka – Mtambaswala (Km 65);
• Mto wa Mbu – Loliondo – Mugumu – Nata – Makutano (Km 452);
• Kyaka – Bugene (km 59);
• Mbinga – Mbamba bay (Km 66);
• Tunduru – Namtumbo (Km 194);
• Kamwanga – Sanya Juu (Km 75);
• Tabora – Urambo (Km 90);
• Uvinza – Kidahwe (Km 77);
• Daraja la Malagarasi na barabara zake (Km 48);
• Uyovu – Bwanga – Biharamuro (Km 112);
• Kisesa –Usagara (Km 17);
• Namtumbo – Songea (Km 70);
§ Peramiho – Mbinga (Km 78);
§ Kawawa Jct – Mwenge – Tegeta (Km 17);
• Segera – Same – Himo (km 261);
• Makambako – Songea (km 295);
• Mtwara – Masasi (km 200);
• Arusha – Moshi – Himo – Holili (km140);
• Arusha – Minjingu (km 104);
• Nyanguge – Musoma – Sirari (km 262); na
• Sanya Juu – Bomang’omba (Km 25).
(e) Kuzifanyia Upembuzi na Usanifu Barabara Zifuatazo:-
• Tabora – Mambali – Bukene – Itobo – Kahama (Km 149);
• Lupilo – Malinyi – Kilosa kwa Mpepo – Londo – Kitanda (km 396);
• Ifakara – Mahenge ( Km 67);
• Kibondo – Mabamba (km 35);
• Kolandoto- Lalago - Mwanhuzi - Matala - Oldeani Jct (km 328);
• Omugakorongo – Kigarama – Murongo (km 105);
• Mpemba – Isongole (Tanzania/Malawi) (km 49);
• Soni – Bumbuli –Dindira – Korogwe (km 74);
41
• Makofia – Mlandizi – Vikumburu (Km 148);
• Kibaoni – Majimoto – Inyonga Km 162);
• Mpanda- Ugala – Kaliua – Ulyankulu – Kahama (km 428);
• Makongolosi- Rungwa – Mkiwa (km 412);
• Mtwara – Newala – Masasi (km 209);
• Handeni – KiberasOfisi ya Rais - TamisemiUzalendoJPM2020 Ofisi ya Rais - Tamisemi
Tuna hasira na bandari yetu msituudhi. Hamna kitu hapo.
Jumlisheni wenyewe then mniambie. Kama mtia mada unataka ukuu wa wilaya sema tu. Japo umesahau kuweka namba ya simu
Mbarawa siyo wa kumuamini. Kama kauza Bandari unadhani anashindwa kubadili gia angani?SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)imesaini Mikataba saba ya ujenzi wa barabara itakayo tekelezwa kwa miaka minne yenye thamani ya shilingi Trillion 3.7 yenye urefu wa kilometa 2035 kwa kiwango cha lami.
View attachment 2660396
Mikataba hiyo imehusisha Barabara ya Kidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi - Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea Arusha – Kibaya – Kongwa Construction Of Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro - Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro - Singida Igawa .
Nyingine ni Songwe - Tunduma Masasi - Nachingwea - Liwale Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago - Maswa Construction Of Mafinga - Mtwango – Mgololo ambapo kila mkandarasi anayehusika na mradi mkubwa, atakua na timu nne za ujenzi katika kutekeleza Mradi.
Akizungumza June 16,2023 Jijini hapa kwenye hafla hiyo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ameeleza kuwa Barabara hizo zitajengwa Kwa kutumia utaratibu wa Engineering, Procurement, Construction and Financing (EPC + F).
Ameeleza kuwa utaratibu huo utaendelezwa katika miradi mingine mipya inayotekelezwa kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni kuwa Makandarasi wa miradi yote saba (7) wamepatikana na kueleza kuwa mara mradi huo utakapo kamilika utasaidia kufungua fursa za kiuchumi katika maeneo zinapopita na kwa Taifa kwa ujumla.
View attachment 2660397
Prof.Mbarawa ameeleza kuwa barabara zitakazojengwa zitapita katika Mikoa kumi na 13 na kufafanua kuwa Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Kwa Mpepo – Londo – Lumecha/Songea (km 435.8) inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo.
Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa yenye (km 453.42) inapita katika Mikoa ya Arusha, Manyara na Dodoma na inapita katika Majimbo ya Arusha Mjini, Arumeru Magharibi, Simanjiro, Kiteto na Kongwa; Barabara ya Handeni – Kiberashi – Kijungu – Kibaya – Njoro – Olboroti – Mrijo Chini – Dalai – Bicha – Chambolo – Chemba – Kwa Mtoro – Singida (km 384.33) inapita katika Mikoa ya Tanga, Manyara, Dodoma na Singida na inapita katika Majimbo ya Kilindi, Chemba, Kiteto, Singida Mashariki na Iramba Mashariki.
"Barabara ya Igawa – Songwe – Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma; Barabara ya Masasi – Nachingwea – Liwale (km 175) inapita katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na inapita katika Majimbo ya Masasi, Nachingwea na Liwale,"amesema
Kwa upande wa Barabara ya Karatu – Mbulu – Haydom – Sibiti River – Lalago – Maswa yenye (km 339), Waziri huyo amesema inapita katika Mikoa ya Manyara, Simiyu, Singida na Arusha na inapita katika Majimbo ya Mbulu Mjini, Mbulu Vijijini, Karatu, Iramba Mashariki, Meatu, Maswa Mashariki na Kisesa huku barabara ya Mafinga – Mtwango – Mgololo (km 81) inapita katika Mkoa wa Iringa katika Majimbo ya Mufindi Kusini na Mafinga Mjini.
Aidha amefafanua kuwa katika Mradi wa Barabara ya Igawa – Tunduma (km 218) ambao utajengwa kwa njia nne (4), imepangwa barabara hiyo ifanyiwe usanifu na ujenzi utakaowezesha kuifanya njia moja kuwa ya malori tu, na yatatumia njia hiyo kwa kulipia pia, itajengwa barabara ya mchepuo (ByPass) ambayo itapita Nje ya Jiji la Mbeya.
Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Mohamed Besta ameuzungumzia mradi huo kuwa wa kwanza kufanyika hapa nchini kutokana na ukubwa wake na kueleza kuwa mchakato wa zabuni za EPC+F ulifanyika kupitia ushindani wa uwazi ulioanza tarehe 27 Juni, 2022 ambapo jumla ya Makandarasi 129 walionesha nia.
Amesema Mchakato wa zabuni ulipitia hatua mbalimbali na hatimaye baada ya uchambuzi, ilibainika kwamba Makandarasi wanne (4) walikidhi vigezo vilivyowekwa
Mhandisi Besta amewataja makandarasi hao kuwa ni Kampuni ya China Civil Engineering Construction (CCECC) ikishirikiana na kampuni ya China Railway 19th Bureau Group Corporation Ltd (CR19) kampuni ya Sinohydro Corporation Ltd. kampuni ya China Overseas Engineering Group Co, Ltd (COVEC) pamoja na kampuni ya China Railway No. 4 Engineering Group Co. Ltd (CREC4)na Kampuni ya China Railway 15th Bureau Group (CR15G).
"Makandarasi hawa wote kupitia utaratibu wa EPC+F, watawajibika kufanya usanifu wa kina (Design) na kujenga barabara hizi kwa viwango na ubora ulioainishwa kwenye Mikataba na Vihatarishi vyote (risk) vinavyohusu usanifu wa mradi na muda wa ujenzi vitabebwa na Mkandarasi,"amefafanua.
View attachment 2660395
WANANCHI HAWATALIPIA BARABARA ZA UTARATIBU WA UJENZI WA EPC + F
iv) Barabara ya Igawa – Songwe – Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma;
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
TAARIFA YA MTENDAJI MKUU WA WAKALA YA BARABARA (TANROADS) MHA. MOHAMED BESTA WAKATI WA UTIAJI SAINI WA MIKATABA SABA YA UJENZI WA BARABARA KWA KIWANGO CHA LAMI KWA UTARATIBU WA ENGINEERING, PROCUREMENT, CONSTRUCTION PLUS FINANCING (EPC+F)
Rasmi, ...
Zote zitajengwa Kwa pamoja na zote zinatakiwa Kukamilika 2027 japo Kuna nyingine xitawahiKatika zote hizo, hii iwe ya kwanza kujengwa....
Katika barabara yote ya Tanzam, hiki ndio kipande kibovu kuliko vyote na ni lami ya miaka mingi mno...
Siyo local tu, yaani hakuna wakandarasi kutoka nchi nyingine zaidi ya China tu?Makampuni yote ni ya China.
Ina maana hakuna local engineering company ya kuweza kujenga barabara?
Huu ni uhuni na uhaini kabisa.
Mtu yeyote aliyewahi kutumbuliwa na JPM ujue ana walakini.Mbarawa siyo wa kumuamini. Kama kauza Bandari unadhani anashindwa kubadili gia angani?
Makampuni yote ni ya China.
Ina maana hakuna local engineering company ya kuweza kujenga barabara?
Huu ni uhuni na uhaini kabisa.
SERIKALI kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS)imesaini Mikataba saba ya ujenzi wa barabara itakayo tekelezwa kwa miaka minne yenye thamani ya shilingi Trillion 3.7 yenye urefu wa kilometa 2035 kwa kiwango cha lami.
View attachment 2660396
Mikataba hiyo imehusisha Barabara ya Kidatu - Ifakara - Lupiro - Malinyi - Kilosa Mpepo - Londo - Lumecha/Songea Arusha – Kibaya – Kongwa Construction Of Handeni - Kiberashi - Kijingu - Njoro - Olboroti Mrijo Chini - Dalai - Chambalo - Chemba - Kwa Mtoro - Singida Igawa .
Nyingine ni Songwe - Tunduma Masasi - Nachingwea - Liwale Karatu - Mbulu - Hydom - Sibiti River - Lalago - Maswa Construction Of Mafinga - Mtwango – Mgololo ambapo kila mkandarasi anayehusika na mradi mkubwa, atakua na timu nne za ujenzi katika kutekeleza Mradi.
Akizungumza June 16,2023 Jijini hapa kwenye hafla hiyo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mnyaa Mbarawa ameeleza kuwa Barabara hizo zitajengwa Kwa kutumia utaratibu wa Engineering, Procurement, Construction and Financing (EPC + F).
Ameeleza kuwa utaratibu huo utaendelezwa katika miradi mingine mipya inayotekelezwa kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kwamba hatua iliyofikiwa hadi sasa ni kuwa Makandarasi wa miradi yote saba (7) wamepatikana na kueleza kuwa mara mradi huo utakapo kamilika utasaidia kufungua fursa za kiuchumi katika maeneo zinapopita na kwa Taifa kwa ujumla.
View attachment 2660397
Prof.Mbarawa ameeleza kuwa barabara zitakazojengwa zitapita katika Mikoa kumi na 13 na kufafanua kuwa Barabara ya Kidatu – Ifakara – Lupiro – Malinyi – Kilosa Kwa Mpepo – Londo – Lumecha/Songea (km 435.8) inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo.
Barabara ya Arusha – Kibaya – Kongwa yenye (km 453.42) inapita katika Mikoa ya Arusha, Manyara na Dodoma na inapita katika Majimbo ya Arusha Mjini, Arumeru Magharibi, Simanjiro, Kiteto na Kongwa; Barabara ya Handeni – Kiberashi – Kijungu – Kibaya – Njoro – Olboroti – Mrijo Chini – Dalai – Bicha – Chambolo – Chemba – Kwa Mtoro – Singida (km 384.33) inapita katika Mikoa ya Tanga, Manyara, Dodoma na Singida na inapita katika Majimbo ya Kilindi, Chemba, Kiteto, Singida Mashariki na Iramba Mashariki.
"Barabara ya Igawa – Songwe – Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma; Barabara ya Masasi – Nachingwea – Liwale (km 175) inapita katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na inapita katika Majimbo ya Masasi, Nachingwea na Liwale,"amesema
Kwa upande wa Barabara ya Karatu – Mbulu – Haydom – Sibiti River – Lalago – Maswa yenye (km 339), Waziri huyo amesema inapita katika Mikoa ya Manyara, Simiyu, Singida na Arusha na inapita katika Majimbo ya Mbulu Mjini, Mbulu Vijijini, Karatu, Iramba Mashariki, Meatu, Maswa Mashariki na Kisesa huku barabara ya Mafinga – Mtwango – Mgololo (km 81) inapita katika Mkoa wa Iringa katika Majimbo ya Mufindi Kusini na Mafinga Mjini.
Aidha amefafanua kuwa katika Mradi wa Barabara ya Igawa – Tunduma (km 218) ambao utajengwa kwa njia nne (4), imepangwa barabara hiyo ifanyiwe usanifu na ujenzi utakaowezesha kuifanya njia moja kuwa ya malori tu, na yatatumia njia hiyo kwa kulipia pia, itajengwa barabara ya mchepuo (ByPass) ambayo itapita Nje ya Jiji la Mbeya.
Kwa upande wake Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Mohamed Besta ameuzungumzia mradi huo kuwa wa kwanza kufanyika hapa nchini kutokana na ukubwa wake na kueleza kuwa mchakato wa zabuni za EPC+F ulifanyika kupitia ushindani wa uwazi ulioanza tarehe 27 Juni, 2022 ambapo jumla ya Makandarasi 129 walionesha nia.
Amesema Mchakato wa zabuni ulipitia hatua mbalimbali na hatimaye baada ya uchambuzi, ilibainika kwamba Makandarasi wanne (4) walikidhi vigezo vilivyowekwa
Mhandisi Besta amewataja makandarasi hao kuwa ni Kampuni ya China Civil Engineering Construction (CCECC) ikishirikiana na kampuni ya China Railway 19th Bureau Group Corporation Ltd (CR19) kampuni ya Sinohydro Corporation Ltd. kampuni ya China Overseas Engineering Group Co, Ltd (COVEC) pamoja na kampuni ya China Railway No. 4 Engineering Group Co. Ltd (CREC4)na Kampuni ya China Railway 15th Bureau Group (CR15G).
"Makandarasi hawa wote kupitia utaratibu wa EPC+F, watawajibika kufanya usanifu wa kina (Design) na kujenga barabara hizi kwa viwango na ubora ulioainishwa kwenye Mikataba na Vihatarishi vyote (risk) vinavyohusu usanifu wa mradi na muda wa ujenzi vitabebwa na Mkandarasi,"amefafanua.
View attachment 2660395
WANANCHI HAWATALIPIA BARABARA ZA UTARATIBU WA UJENZI WA EPC + F
Mtu yeyote aliyewahi kutumbuliwa na JPM ujue ana walakini.
Tunataka bandari zetu period, wa kwanza kujenga ,pesa anatoa mfukoni mwakeNdio ni WA kwanza kujenga Barabara nyingi Kwa pamoja.
Kazibebe mgongoni kwani hujui ziliko hizo Bandari?