peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
EPC +F ni mfumo wa kijifunga goli mwenyewe mkuuHiyo haipo hata kwenye Mpango na Wala sijawahi sikia popote ikizungumzwa,ngoja nitaingia kwenye tovuti ya TanRoads Iringa nifuatolie..
Kiukweli ni Barabara muhimu sio tuu inaishia Kilolo Bali inatakiwa kwenda kuungana na Barabara kuu ya Mikumi-Ifakara Njombe pale Idete,pia hiyo ni alternative in case Kuna blockage ya Barabara Kuu ya Iringa -Mikimi-Morogoro..
Mwisho,huu ni Mwanzo tuu vuta subiria, EPC+F itajengwa Barabara zote za kiuchumi ikiwemo hiyo ya Ipogolo-Kilolo Hadi Morogoro
Sasa wangefuta neno "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" kwenye katiba. Ni upuuzi kuponda ujamaa wakati kwenye katiba yenu bado unasomekaYule mwingine alikuwa ni mjinga mmja tuu,ujue Kila siku nawaambia Wajamaa ni watu wapumbavu sana Mkiwa entertain mtaishia kuwa maskini milele.
Na Bado toll roads zinakuja,EPC +F ni mfumo wa kijifunga goli mwenyewe mkuu
Sasa mjinga kama wewe unaweza kweli nifundisha EPC+F kweli? Nafahamu models nyingi zaidi ya 5 za ujenzi wa Barabara..SGR kutoka dar - morogoro ni Trilion ngapi?
Tangu 2017 hadi leo haijaanza kazi.
Unazungumzia Trilion 3.8 kuwa Saa100 anazo?
Unafahamu maana ya EPC +F na inavyofanya kazi au unadhani watu wote ni la saba?
Kwani lini Katiba Mpya imeandikwa?Sasa wangefuta neno "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" kwenye katiba. Ni upuuzi kuponda ujamaa wakati kwenye katiba yenu bado unasomeka
As long as EPC +F itajenga na mkoa wa Mwanza...Sina shida nayoSasa mjinga kama wewe unaweza kweli nifundisha EPC+F kweli? Nafahamu models nyingi zaidi ya 5 za ujenzi wa Barabara..
Shujaa wenu kabla ya kufa alisema ingeanzia kazi mbona hakuzindua hiyo Sgr?
3.8Tln ni hela kubwa Kwa nyie backward minded people ila Kwa bepari kama Samia ni hela ya chai tuu.
Next year tunazindua Barabara nyingine za EPC+F,tunataka km 8,000 Hadi 2030 ziwe tayari na kuweka historia ya kuifungua Nchi.
Andaeni Barabara za kimkakati Zenye Tija kiuchumi, Serikali imeshaweka tozo ya mafuta sh.100 ambayo Kila mwaka itakuwa inaingiza zaidi ya Bil.380 Hadi 400 Kwa kazi za kujenga Barabara.As long as EPC +F itajenga na mkoa wa Mwanza...Sina shida nayo
Hyo tozo inapelekwa kwenye miradi ya kimkakati sio barabara za kimkakati.....SGR ,nkAndaeni Barabara za kimkakati Zenye Tija kiuchumi, Serikali imeshaweka tozo ya mafuta sh.100 ambayo Kila mwaka itakuwa inaingiza zaidi ya Bil.380 Hadi 400 Kwa kazi za kujenga Barabara.
Miradi ya kimkakati kwako unaelewaje?Hyo tozo inapelekwa kwenye miradi ya kimkakati sio barabara za kimkakati.....SGR ,nk
Sasa mjinga kama wewe unaweza kweli nifundisha EPC+F kweli? Nafahamu models nyingi zaidi ya 5 za ujenzi wa Barabara..
Shujaa wenu kabla ya kufa alisema ingeanzia kazi mbona hakuzindua hiyo Sgr?
3.8Tln ni hela kubwa Kwa nyie backward minded people ila Kwa bepari kama Samia ni hela ya chai tuu.
Next year tunazindua Barabara nyingine za EPC+F,tunataka km 8,000 Hadi 2030 ziwe tayari na kuweka historia ya kuifungua Nchi.
UjingaAskofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!
Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: MAONI YANGU Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini...www.jamiiforums.com
Umejibu maswali niliyokuuliza kweli?Sasa mjinga kama wewe unaweza kweli nifundisha EPC+F kweli? Nafahamu models nyingi zaidi ya 5 za ujenzi wa Barabara..
Shujaa wenu kabla ya kufa alisema ingeanzia kazi mbona hakuzindua hiyo Sgr?
3.8Tln ni hela kubwa Kwa nyie backward minded people ila Kwa bepari kama Samia ni hela ya chai tuu.
Next year tunazindua Barabara nyingine za EPC+F,tunataka km 8,000 Hadi 2030 ziwe tayari na kuweka historia ya kuifungua Nchi.
Maswali gani?Umejibu maswali niliyokuuliza kweli?
Unafahamu maana ya EPC +F na inavyofanya kazi?Maswali gani?
Wabunge waliokwenda DP World - DUBAI, hao hapo.Upuuzi peno hasegawa
Kweli tumeuzwa uarabuniMiradi ya kimkakati kwako unaelewaje?
Kwani ni Siri mbona walisema Bungeni walienda Dubai kwani Kuna shida gani? Au Kwa sababu wewe hujuenda? 😁😁Wabunge waliokwenda DP World - DUBAI, hao hapo.
Msituondoe kwenye issue ya bandari zetu mnatuletea disco jingine la EPC+F nalo ni janga jingine la kuchota fedha bank zenye riba kwenda kujengea barabara
Sasa Ukiwa mbuzi lazima uuzwe tuuKweli tumeuzwa uarabuni