Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia uwe una tumia akili, siyo tundu la m.kundu kujibu hoja.
Usitumie hilo tundu na ww kujibu hojaBhebhe nang'ho, matusi ya nini sasa? Kama imekukera kaa kimya au kajiunge chadema chama cha udini na ukabila. Olenimala nkoi? Au wewe sio wa huku kwetu!!!
Ndio kitu gani hicho? Naona mleta mada kajaza porojo nyingi bila kuelezea ni kitu gani hasa hicho.Engineering, Procurement Construction and Finance
Samia ndio mkombozi wenu ,gas sio porojo soon Serikali inasaidni GHA na Wakandarasi mradi wa Til.98,Nikikumbuka porojo za gesi nashindwa kuamini km hili ni la ukweli
Hakuna haha ya kuthibitisha lolote humu. It won't save any purposeKuna nyumba na Banda ,leta picha tuone
Acha porojo weweHakuna haha ya kuthibitisha lolote humu. It won't save any purpose
Soma comments zote utapata ufafanuzi Kwa niliowajibu, vinginevyo hukurnda shule kukua prof google yupo tafuta mwenyeweNdio kitu gani hicho? Naona mleta mada kajaza porojo nyingi bila kuelezea ni kitu gani hasa hicho.
Usitumie hilo tundu na ww kujibu hoja
Mama anaupiga mwingi
Mkuu Choice, nakubaliana nawe na kwa taarifa yako nafuatilia sana maendeleo yatokanayo na bajeti yetu, ila msukumo wa kujenga mabweni hususani kwa watoto wa kike sio mkubwa sana wa kuondoa tatizo la wahanga hawa "watoto wa maskini". Hii inatokana na watoto wa watoa maamuzi ya maendeleo ya Nchi hii wanasoma kama sio shule binasfi basi Nje ya Nchi.Huko kwenye Elimu usiseme,hakuna sekta ambayo Rais kaipa msukumo mkubwa kama hiyo,shida yenu hamfuatilii Bajeti za serikali..
Broo unafahamu kwamba mama anajenga shule za Sekondari za Wasichana Kila Mkoa?Mkuu Choice, nakubaliana nawe na kwa taarifa yako nafuatilia sana maendeleo yatokanayo na bajeti yetu, ila msukumo wa kujenga mabweni hususani kwa watoto wa kike sio mkubwa sana wa kuondoa tatizo la wahanga hawa "watoto wa maskini". Hii inatokana na watoto wa watoa maamuzi ya maendeleo ya Nchi hii wanasoma kama sio shule binasfi basi Nje ya Nchi.
Mkuu nakubali kabisa kwamba kuna msukumo mkubwa wa kujenga shule; tunaziona. Kwa bahati mimi ni mjasiliamali wa kununua mazao huko vijijini; kwa hiyo naona hali halisi ya mateso ya watoto hao wa kike na uhaba mkubwa wa mabweni na hasa ya watoto wa kike. Mchango wangu huu ni kuwa omba Serikali, aidha pamoja na kuwa watendaji wake wengi hawana watoto huko kwenye shule za kata vijijini! lakini nawaomba walitatue suala hili kwa uzito unaostahili.Broo unafahamu kwamba mama anajenga shule za Sekondari za Wasichana Kila Mkoa?
Mabweni yanajengwa sana tuu sema Bado hayatoshelezi.,mfano shule zote za Sequip zinajengwa pamoja na mabweni ya Watoto,Mimi huku niliko nimeona shule Mpya 3 zote Zina mabweni ya wanafunzi wa kike.
Itategemeana na stock baada ya kununua but wataruhusu Ili watu wauze wapate pesa z kujiandaa na msimu ujao.vipi kuhusu bei ya mahindi itapanda baada ya mama kununua mazao yake au itategemea mkuu ChoiceVariable
Wewe unaonekana mtoto sana,huyo unaemwita mjinga ndiyo aliongoza hiyo Wizara ya Ujenzi kwa ufanisi na baada kupewa Urais alifanya makubwa pia,usipende kujifanya unajua sana wakati ni fala tu.Yule mwingine alikuwa ni mjinga mmja tuu,ujue Kila siku nawaambia Wajamaa ni watu wapumbavu sana Mkiwa entertain mtaishia kuwa maskini milele.
Wewe unaonekana mtoto sana,huyo unaemwita mjinga ndiyo aliongoza hiyo Wizara ya Ujenzi kwa ufanisi na baada kupewa Urais alifanya makubwa pia,usipende kujifanya unajua sana wakati ni fala tu.Yule mwingine alikuwa ni mjinga mmja tuu,ujue Kila siku nawaambia Wajamaa ni watu wapumbavu sana Mkiwa entertain mtaishia kuwa maskini milele.
Mpaka asimamiwe ndio Ufanisi wake unaonekana,baada ya kujisimamia kaharibh Kila kitu..Wewe unaonekana mtoto sana,huyo unaemwita mjinga ndiyo aliongoza hiyo Wizara ya Ujenzi kwa ufanisi na baada kupewa Urais alifanya makubwa pia,usipende kujifanya unajua sana wakati ni fala tu.
Kwani Samia anachofanya kina upya gani,ata hizo Barabara nyingi zimeandaliwa chini ya Magufuli+Engineer Kijazi+Engineer Mfugale nk.
Na suala la Ujamaa kwa Tanzania lipo kikatiba kama hutaki nenda kafute!