peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
π€π€π€π€Sasa Ukiwa mbuzi lazima uuzwe tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π€π€π€π€Sasa Ukiwa mbuzi lazima uuzwe tuu
Nikafanye nini huko?Kwani ni Siri mbona walisema Bungeni walienda Dubai kwani Kuna shida gani? Au Kwa sababu wewe hujuenda? ππ
Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake.
Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami kwenye mikoa 13 kwa pamoja zenye jumla ya urefu wa KM 2035 kwa mtindo wa EPC+ F (Engineering, Procurement, Construction and Finance) kwa gharama ya Tsh.Tilioni 3.8 ambapo miradi inatarajiwa Kukamilika ndani ya miaka 4 (2023-2027).
Akizungumza wakati wa kushuhudia kutiwa saini kwa mikataba hiyo Jijini Dodoma, Waziri wa Ujenzi Prof. Mbarawa amesema kwamba, barabara hizo hazitokuwa za kulipia tozo kama wapotoshaji wanavyosema. Ikumbukwe hii haijawahi tokea toka Uhuru, walinda legacy mnafundishwa kazi.
My Take
Samia anawaonesha kwamba Private Sector inalipa kuliko Ujamaa mbuzi ambao baadhi ya watu wasiojielewa wanakumbatia.
Ndio maana hata kwenye Bandari anataka awafundishe namna ya kutumia rasilimali kwa manufaa ya watu badala ya kuhubiri propaganda za Uzalendo mbuzi na umaskini over years.
Hongera sana Mh. Rais, na Waziri wa Mbarawa Kwa Ubunifu,Historia itaandika jina lako kwa wino Mwekundu.
=====
MIRADI YA BARABARA ILIYOSAINIWA KWA UTARATIBU WA EPC + F
i) Barabara ya Kidatu β Ifakara β Lupiro β Malinyi β Kilosa Kwa Mpepo β Londo β Lumecha/Songea (km 435.8) inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo;
ii) Barabara ya Arusha β Kibaya β Kongwa (km 453.42) inapita katika Mikoa ya Arusha, Manyara na Dodoma na inapita katika Majimbo ya Arusha Mjini, Arumeru Magharibi, Simanjiro, Kiteto na Kongwa;
iii) Barabara ya Handeni β Kiberashi β Kijungu β Kibaya β Njoro β Olboroti β Mrijo Chini β Dalai β Bicha β Chambolo β Chemba β Kwa Mtoro β Singida (km 384.33) inapita katika Mikoa ya Tanga, Manyara, Dodoma na Singida na inapita katika Majimbo ya Kilindi, Chemba, Kiteto, Singida Mashariki na Iramba Mashariki;
iv) Barabara ya Igawa β Songwe β Tunduma (njia nne) (km 237.9) inapita katika Mikoa ya Mbeya na Songwe na inapita katika Majimbo ya Mbarali, Mbeya Vijijini, Mbeya Mjini, Mbozi, Vwawa na Tunduma;
v) Barabara ya Masasi β Nachingwea β Liwale (km 175) inapita katika Mikoa ya Lindi na Mtwara na inapita katika Majimbo ya Masasi, Nachingwea na Liwale;
vi) Barabara ya Karatu β Mbulu β Haydom β Sibiti River β Lalago β Maswa (km 339) inapita katika Mikoa ya Manyara, Simiyu, Singida na Arusha na inapita katika Majimbo ya Mbulu Mjini, Mbulu Vijijini, Karatu, Iramba Mashariki, Meatu, Maswa Mashariki na Kisesa; na
vii) Barabara ya Mafinga β Mtwango β Mgololo (km 81) inapita katika Mkoa wa Iringa na inapita katika Majimbo ya Mufindi Kusini na Mafinga.
Nilikuwa ninamtafuta Deo Mwanyika kwenye hiyonorodha nimemuona!Kwani ni Siri mbona walisema Bungeni walienda Dubai kwani Kuna shida gani? Au Kwa sababu wewe hujuenda? ππ
1. Barabara ya Kidatu β Ifakara β Lupiro β Malinyi β Kilosa Kwa Mpepo β Londo β Lumecha/Songea (km 435.8) inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo;Sio kitu kipya Ulaya au Tanzania? Kipya ni nini?
Malalamiko Yako peleka Kuna husika ila Hii ni game changer hakuna Kiongozi amewahi Jenga Kwa wingi huo Toka Nchi hii Imepata habari..
Ujue nyie midembwedo wa Dar Huwa mnaropoka tuu bila kujua adha ya watu Mikoani.
Watalipwa tuu1. Barabara ya Kidatu β Ifakara β Lupiro β Malinyi β Kilosa Kwa Mpepo β Londo β Lumecha/Songea (km 435.8) inapita katika mikoa ya Morogoro na Ruvuma na inapita pia katika Majimbo ya Kilombelo, Ulanga, Malinyi na Namtumbo;
SWALI:-
Mbona Waathiriwa (wamiliki wa ardhi wanaopisha upanuzi wa barabara) hawajalipwa fidia yao ya kutwaliwa ardhi zao, Je, fedha zilizotengwa kwa ajili ya barabara hii zinaenda kulipa fidia waathiriwa au zinaenda kutumika katika ujenzi wa barabara??? Uthamini wa ardhi tayari ulishafanyika mwaka 2011 na 2012.
Tatizo la fidia pia lipo kwa Barabara ya kutoka Arusha Mjini hadi Kongwa Dodoma, huko uthamini haujafanyika kabisa. Sijui itakuwaje??
Watalipwa lini??Watalipwa tuu
Kwani utekelezaji wa mradi umeanza? Samia sio dhulumati kama yule,pesa mtapewa shida Yako ni nini?Watalipwa lini??
Kwa nini hawakulipwa kabla ya kusainiana mikataba hii ya ujenzi??
Siku zote walikuwa wapi tangu mwaka 2012 wakati uthamini wa ardhi ulipofanyika??
WBWatalipwa tuu
ππππ
ππππ
Nenda kuandamana unafanya nini humu? π€ͺπ€ͺWasiosema chochote lsiti mgejua wanachofikiri !!
Ninaandaa BOQ ya EPC+FNenda kuandamana unafanya nini humu? π€ͺπ€ͺ
Ninaandaa BOQ ya EPC+F
Unaona wivu na aibu Kwa pamoja ππNchi kuna siku itapigwa mnada alijisemea Job
Tanesco nao wamasaini yao na hao haoUnaona wivu na aibu Kwa pamoja ππ
kwahiyo hiyo yako ndio hooooojaaaaa?Leta hoja achana na ngonjera na michambo, kaimbe taarabu huko, huku hupawezi.
Safi sana tena tulichelewa kusaini.Tanesco nao wamasaini yao na hao hao
Kazi inaendelea πTanesco nao wamasaini yao na hao hao