Zaidi ya kunitia ndani, kunipiga na kunitesa, je mwanasiasa aliye madarakani ana kipi kingine cha kunifanya?

Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya.

Ukisha yafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao.

Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka
Anaweza pia kukusababishia ulemavu wa kudumu katika mwili wako, anaweza kukusababisha ukimbilie uhamishoni nje ya nchi, anaweza pia kukuua!

Hawa wanasiasa kaa nao mbali kabisa! Maana ni banadamu kwa nje tu. Ila ukiingia ndani ya mioyo yao, aisee ni mbwa mwitu wakali sana.
 
Wanasiasa mliopo madarakani msitutishe, kwani zaidi ya kunitesa, kunipiga na kunitia ndani huna kingine cha kunifanya.

Ukishayafanya hayo nikirudi uraini nitakuwa Nitshill zaidi kwako na kwa wanao.

Msitafute balaa kwenu ninyi binafsi na kwa vizazi vyenu kisa tu ulevi wa madaraka
Mkuu wanakutoa roho pia hilo usisahau.
 
Anaweza pia kukusababishia ulemavu wa kudumu katika mwili wako, anaweza kukusababisha ukimbilie uhamishoni nje ya nchi, anaweza pia kukuua!

Hawa wanasiasa kaa nao mbali kabisa! Maana ni banadamu kwa nje tu. Ila ukiingia ndani ya mioyo yao, aisee ni mbwa mwitu wakali sana.
Kweli hawa
walioko madarakani walishasaini mkataba wa makubaliano na shetani.
 
Nchi hii watu wanachokipa thamani ni Yanga vs Simba, Conection shoo shoo, umbea, kufatiliana, n.k.
Ndio maana tumeamua wacha Tozo ziwanyoshe kwanza. Wanalia lia tu na mabando na sisi vibomu hatuvumilii
 
Back
Top Bottom