Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanakumbi.

⚡️BREAKING:

Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi.

Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia kwenye makazi. Ripoti za awali za roketi zilizoanguka karibu na eneo la Chuo Kikuu cha Haifa na eneo la Techinion.


View: https://x.com/suppressednws/status/1838263697405251629?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Wewe mvaa makobazi wenzio huko wanayemuita Aisha Malaya ni vilio tu

View: https://x.com/JewishWarrior13/status/1838242129534963882

View: https://x.com/realMaalouf/status/1838256740669759992
Makamanda wake wa Juu wote wamerushwa huko jehanamu wakakutane na mabikira 72. Wa hivi karibuni ni huyo anaitwa Ali Karaki leo hii kapzwa

View: https://x.com/Philipp27960841/status/1838255237540257888
 
Back
Top Bottom