Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

Vi clip vya kufutia machozi, Al Jazeera wenyewe sasa hivi wameanza kusema hawana uhakika na madai ya mashambulizi ya Hezbollah.
Halafu mkuu, nina clip ya ile ajali ya tank la mafuya kule Morogoro. Nikutumie na yenyewe uipost? Halafu caption unaandika Hezbollah yafanya kweli😅
Msemaji wa Al Jazeera kutoka. YELANYALA.

Sasa vi clips vya uongo vinakufanya uandike gazeti😄. Kingime hiki hapa angalia mabasha zako wanavyolia.

View: https://x.com/lailafatimeh/status/1838578290962907199?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hezbollah wanatoa Moja baada ya nyingine. Muyahudi anapigwa surprise mpaka anashangaa. Anategemea akiuwa raia wengi atawatisha Hezbollah warusi kwenye negotiation anasahau Gaza amekua karibu elfu 20 na haujapata hawo mateka wake na IDF Bado wanapigwa ambush kama kawaida.
 
Yupo busy kuua raia wenzie wanapiga kwenye mshono sasa hivi anatumia viwanja vya kambi ya England nje ya Israeli.
Mwaka huu atajuta Hezbollah sio Hamas
 
Attachments

  • Screenshot_20240924-191512.jpg
    Screenshot_20240924-191512.jpg
    221.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom