Msije sema oooh wajawazito sijui nin
Safari hii watakaa kwenye hizo bomu sheta milele.Israel wana bomb shelter kibao....na ikitokea milipuko hukimbilia huko mpaka hali ikitulia....na huko kuna huduma zote.......
HahahahaSafari hii watakaa kwenye hizo bomu sheta milele.
Hezboo hacheki na nyani!
Wewe mvaa makobazi wenzio huko wanayemuita Aisha Malaya ni vilio tuWanakumbi.
⚡️BREAKING:
Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi.
Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia kwenye makazi. Ripoti za awali za roketi zilizoanguka karibu na eneo la Chuo Kikuu cha Haifa na eneo la Techinion.
View: https://x.com/suppressednws/status/1838263697405251629?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Unaleta story za cinema…Israel wana bomb shelter kibao....na ikitokea milipuko hukimbilia huko mpaka hali ikitulia....na huko kuna huduma zote.......
Haina hiyooooo!Hahahaha
Lakini baadae msije kuita umoja wa mataifa
Shughuri za kiuchumi vipi na huko zinafanyika kama kawaida?.Israel wana bomb shelter kibao....na ikitokea milipuko hukimbilia huko mpaka hali ikitulia....na huko kuna huduma zote.......
Ndio zinafanyika kama zinavyofanyika GazaShughuri za kiuchumi vipi na huko zinafanyika kama kawaida?.
Taifa teule wataishi mashimoni kama digidigi.Ndio zinafanyika kama zinavyofanyika Gaza