Zaidi ya walowezi 300,000 Israel wamekimbia makazi yao huko Haifa baada ya mfulilizo wa Makombora ya Hezbollah.

Msemaji wa Al Jazeera kutoka. YELANYALA.

Sasa vi clips vya uongo vinakufanya uandike gazeti😄. Kingime hiki hapa angalia mabasha zako wanavyolia.


View: https://x.com/lailafatimeh/status/1838578290962907199?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hezbollah wanatoa Moja baada ya nyingine. Muyahudi anapigwa surprise mpaka anashangaa. Anategemea akiuwa raia wengi atawatisha Hezbollah warusi kwenye negotiation anasahau Gaza amekua karibu elfu 20 na haujapata hawo mateka wake na IDF Bado wanapigwa ambush kama kawaida.
 
Yupo busy kuua raia wenzie wanapiga kwenye mshono sasa hivi anatumia viwanja vya kambi ya England nje ya Israeli.
Mwaka huu atajuta Hezbollah sio Hamas
 

Attachments

  • Screenshot_20240924-191512.jpg
    221.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…