Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

Tetesi: Zaidi ya wanawake 1500 wapo Dar es salaam kumpongeza Rais Samia Machi 19, 2023. Hawana nauli za kurudi nyumbani na hawajui wale/walale wapi

Miaka miwili ya Samia hoyee😅Samia anaupiga mwingi,walo kwenye conekshen wamelipwa🏃on a serious note unasafirije km zaid ya elfu moja bila fedha za emergency?mie nimetoka home na kibunda Cha 1mil,(500k cash,500k kwenye cm wallet) wanawake tuache kuwa tegemezi tujisimamie 🙏 huna uhakika wa fedha achana na Safari zisizo na maslah kwako,safarini Kuna mengi usijitembelee Kama zuzu 😅😅
 
Mkuu utambue elimu yao iko chini na uelewa pia.
Trust me wameteseka 100%
Ninavyoandika hapa Tayari wako wameanza kuingia uwanja wa Taifa na Hata breakfast hawajui itapatikana wapi
Ujinga usiwe kisingizio cha Kila kitu..Yani unataka kuniambia hawa watu wako primitive kuliko ..... Au basi.. Yani hawana reasoning kabisaa.

Ila naweza kuamini,kwasababu ni nchi moja Tu duniani ambayo watu wake waliaminishwa risasi zinaweza kubadilika kuwa maji kabla hazijatua kwenye miili,na wakaingia vitani against mitutu and we are the descendants of those people..Ujinga ni asili yetu
 
Nilichogundua ukiwa ccm hutakiwi kusema ukweli.

Ccm mnamdangaya mama samia 100% kwa sababu unaweza je kuhamasisha wanawake nchi nzima kwenda Uwanja wa Taifa Dar bila kujali kuhakikisha wanawake wote wamepewa nauli ya kwenda na kurudi, chakula na malazi?
Kama Sio uhaini.

Wamama wengine wamebeba Watoto, wengine ni wajawazito, wengine ni wagonjwa.

Nina Mshauri Mama Samia Usome bandiko Hili na uwaulize wamama wote wakiwa uwanja wa Taifa kama wamewezeshwa chochote utapata majibu. Sahihi na utabarikiwa.

Hali ni mbaya kuliko na manunguniko ni makubwa mnoooo.

Na kuna dalili viongozi wa ccm mikoa na wilaya walipewa fedha ila wameziweka mifukoni na wanawake wote wanalia na kilio hiki kimfikia mama Samia kwa sababu wanarudi mikoani na image mbaya kuhusu Mama Samia.
Sasa mtu unajua u mgonjwa,au uko na mtoto mdogo Safari ndefu ya kazi gani?ilhal huna means vitu vyingine ni vya kureason tu
 
Kuna vitu vinaendelea Tanzania hata huwa sijui kama vipo...

Kumbe kuna tukio la wanawake kumpongeza mama Samia
 
Mikoa mingine ccm imewapa mikoa mingine ccm haijawapa na hatujui ni kigezo gani kimetumika ila wanawake wote wa chadema wamelipwa Kila mmoja Tsh 350, 000 kwa Wale waliotokea Mara, Kagera na Rukwa
Si mnampenda nendeni Kwa gharama zenu kama wanavyofanya washabili wa Moira😂😂
 
Ivi Aya maswala ya kupongeza mbona yamekua mengi Sana Ina Maana watangulizi wa mama hakuna walichokifanya au ndo imekua Wimbo kila raisi alieko madarakani atakua anapongezwa tu!? Mbona sijawahi kuskia wakenya Wanaenda Nairobi kutoka Mikoani eti kumpongeza rais!!!
Nilitaka kusema jambo lakini wakili wangu hapatikani😂😂
 
wape address wafike pale next door.
tabata yoote kuanzia kitambaa cheupe nk.
Goba Joyce lover, tripple b...na pale montanaa...

Usiu mmoja tu wote wanapata nauli to any destination.... kazi kwao.
Kula na kulala Bure😂
 
Wanywe maji mengi, walale kwenye michanga, baada ya kumaliza kusifu waandamane kuelekea Lumumba kudai nauli walizopewa ahadi.
 
Mkuu utambue elimu yao iko chini na uelewa pia.
Trust me wameteseka 100%
Ninavyoandika hapa Tayari wako wameanza kuingia uwanja wa Taifa na Hata breakfast hawajui itapatikana wapi
Ndio tunasema tunaomba wateseke Ili ujinga uwatoke. Wenzenu kesho wanaandamana maisha yamekuwa mafumu nyie wajinga mnaenda kupingeza huku mkijua Hali ni ngumu
 
Hii mi mama huko watokako hawana habari, eti wanakwenda kwa niaba ya wenzao mikoani, wanafiki,watafuta fursa, mama wapotezee! Usiwahofie, wapunguze kukuchosha, misherehe yenyewe wanapanga wajanja huko juu!
 
Njoo kwenye hoja.
Leo kumetokea kituko Dar. Kuna wanawake zaidi ya 1,500 wamewasili Dar kutokea mikoa yote ya Tanzania. Nia ya wao kuja Dar ni Ili waweze kukutana Kesho asubuhi hadi saa nane Mchana Ili kumpongeza mama Samia.

Kwa masikitiko makubwa na huzuni kubwa wamama hao wamelipa nauli kwa fedha za mifukoni mwao wakitarajia kuwa watakuja kurejesha fedha walizotumia kusafiria.

1. Kituko kimeanza baada ya wao kukosa pa kulala wakitarajia kuwa wangekuwa wameandaliwa Maeneo au hotel za kulala. Kilichotokea hawajarejeshewa fedha za nauli za kuja Dar.

2. Hawajui watapata wapi nauli za kurudi makao mikoani.
3. Hawana mahali pa kulala.
4. Hawana uwezo wa kununua vyakula mahotelini.
5. Wengi wameamua kuondoka Kesho Jioni kurudi mikoani baada ya kutoka uwanja wa Taifa saa nane Mchana kwa Wale wachache wenye uwezo.
6. Kesho jumapili Mchana haijulikani watakuwa wapi.
7. Kuhudhuria kongamano hilo masharti ni lazima ununue kitenge 20,000 na kukishona kwa Gharama zako mwenyewe na wote wana sare ya kitenge cha Rais.

8. Wanawake wengine wamekuja na Watoto wadogo ambao wananyonyesha.
9. Wabunge wa ccm wanakotokea Viongozi wa UWT wamegoma Hata kuwachangiachakula, makazi na Usafiri Kwa mantiki kwamba maza anajipongeza mwenyewe na amealika na Bawacha.
10. Zaidi ya Wanawake 110 waliotokea Tarime mkoa wa Mara nauli ni 70,000 kila mmoja kwenda Dar tu, Bado kulala 50,000 na chakula Bado kurudi na walidanganywa na CCM kuwa watalipiwa Kila kitu imekuwa kinyume chake.

11. Wanawake wamekuwa frastrated kwa sababu kuna walioondoka tar 18.3.2023 kuelekea Dodoma Kwa nauli zao, kuna walioelekea Dar uwanja wa Taifa kwa nauli zao the same day, Pia Leo tar 19.3.2023 kuna kundi lililokuja Dar uwanja wa Taifa kwa nauli zao na Kesho wanakwenda Dodoma kwa nauli zao kuonana na tulio tangulia Dodoma.

Wenyeviti wa UWT mikoa yote mungu anawaona. Mama Samia wamama wenzako wako Dar kukufuata kukupongeza ila wamelala uwanja wa Taifa na hawajala na hawajui Kesho watakuwa wapi na watasafi vipi kurudi makwao.

HABARI HIZI UNAZO?KAMA UNAZO OKA WAKINAMAMA HAWA KUEPUSHA LAANA YA WATU WASIO NA HATIA
Hawana LOLOTE ni UMALAYA tu umewafanya WABAKI DAR ngoja warudi ni VIRUSI
 
Ni wapumbavu tu wapambane na hali zao.binafsi mtu mpumbavu simuonei huruma
 
Tough love..inabidi wakose nauli..haiwezekani uone mambo yote yanaoendelea nchi hii,alafu usogeze kipago kwenda kupongeza ,huu ni upumbavu na uchawa usio na mAana...

They came for photo-ops ,wapeni ndala waanze kutembea kurudi Kwao..Ujinga umezidi nchi hii
Hii nchi ina watu wajinga sana[emoji1][emoji1][emoji1] yani mambo yanayoendelea mtu kabisa unakuja kusifu na kuabudu
 
Back
Top Bottom