Zaka ya 10% unatoa kwenye faida au kwenye utajiri wako?

Kuna ambao hawajui kabisa hili neno
Kuna ambao watakupinga tu😅.
Kuna ambao Watakwambia ni agano la kale
 
Kuna mahali nilienda unaweza ukalia
Mchungaji analipwa laki 2, 120.....yaani duh ,ana familia nk
Watu Huwa tukisema wachungaji wanawaangalia kina mwamposa,kumbe hao ni 1 ktk 100
Ila tunaongelea walio wengi kwenye mifumo hizo Hela wala ni ndogo sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…