Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
KKKT ni tofauti na makanisa wezi ya walokole.Yes,wanatunza wasiojuweza
Ht kkkt niliyopo mie pia wanafanya hivyo
Na Kuna mchungaji anawatembelea
KKKT ..kanisa sio mali binafsi ya askofu na pesa zinajulikana zinapoenda ila ulokoleni kanisa ni mali binafsi ya askofu na familia yake,zaka na sadaka ni pesa zinazoenda kunufaishia mchungaji na familia yake