kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Tafuta hekalu unaloliamini mkuuYaani hata kwa Mwamposa nako ni Hekaluni? Wizi mtupu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta hekalu unaloliamini mkuuYaani hata kwa Mwamposa nako ni Hekaluni? Wizi mtupu!
Ukimaamisha?Hapana basic salary yko
SijuiWewe unaelewaje?
Kama hujui tuliza kalio sasa!Sijui
Asante mkuu! Hawa mitume na manabii hawachelewi kwenda kujengea mahotel ya nyota 5!Tafuta hekalu unaloliamini mkuu
Mfanyabiashara mwenye mapato ya 1,000,000/- kwa siku, ila profit ni 70,000/-,. Zaka atatoa kwenye faida au mapato ?Fungu la kumi ni sehemu ya kumi ya mapato yako yote, hakuna mahali ambapo Biblia imeandika 10% inatokana na faida utakayoipata. Sehemu Moja kati ya kumi za mapato yako siyo mali yako ukipewa Ng'ombe 100 elewa 10 ni mali ya Bwana. Ukikimaa nao ni Kwa hasara yako.
Wakizaa 20 tambua Ng'ombe wawili (02) siyo wako.
Suala hili la kuangalia faida ndipo utoe sielewi msingi wake kibiblia ni upi. 10% ni Kodi ya Mungu na ni kipimo cha usimamizi wa raslimali tulizokasimishwa na Mungu.
Tujiulize ikiwa Serikali hukata kodi kwa asilimia fulani na mathalani ikiongeza mishahara kiwango cha kodi nacho huongezeka. Swali hapa ni je? Kodi hiyo hukatwa kwenye faida au mapato yote?. Wakadiriaji wa kodi nchini wanaangalia faida ndipo wakadirie kodi au wanaangalia thamani ya jumla ya uwekezaji na wastani wa mapato?
Kwa nini kwenye kulipa zaka kuna porojo nyingi?. Naendekea kujifunza ila sijakutana na utafiti unaoonesha kuwa mtu anaweza kufilisika kwa kutoka zaka Kwa uaminifu. Hapa kuna Siri kubwa sana ya mafanikio imefungwa Ili yamkini hata wale wanaoona wasione.
Kipi kinafilisi au kigumu kutoa kati ya zaka na kafara. Kama watu wanajitoa mpaka nafasi zao kwa nini hapa kwenye zaka tunapata ugumu?. Baba yako akiwa na magari elfu moja akakupa 10 kisha akakupima usimamizi Ili akupe zaidi kwa kukutaka umpe moja unafikiri ni kwa faida ya nani? Je ? Baba yako atakuwa amefilidika au wewe ukishindwa kuonesha uaminifu ndiyo utajitia umasikini?
1,000,000+70,000=(Mapato yote)Mfanyabiashara mwenye mapato ya 1,000,000/- kwa siku, ila profit ni 70,000/-,. Zaka atatoa kwenye faida au mapato ?
Kwa hio atatoa zaka 100k, huku akiwa amepata hasara ya 30k, after miez miwili anakuwa kafisirika, 😂😂😂1,000,000+70,000=(Mapato yote)
1/10 ya mapato = Mapato yote/10.
Nionesheeni mahali palipoandikwa 10% inatokana na faida niache kuchangia.
Wapi pameandikwa kwenye faida?Kwa hio atatoa zaka 100k, huku akiwa amepata hasara ya 30k, after miez miwili anakuwa kafisirika, 😂😂😂
Ni kweli zaka ni muhimu ila tuwe tunatumia vichwa, hio 10% itakatwa kwa profit sio mapato, ukisema ukate kwenye mapato chances ni watu watakuwa masikini soon, yan mtu alipwe 500,000/- ya kazi, ila kuifanikisha kazi katumia 200,000/- halafu unataka 10% ya 500k hahahah hapana aisee
Mbona kwa waganga tunatoka Tena zaidi ya 10% na tupo kimya?Asante mkuu! Hawa mitume na manabii hawachelewi kwenda kujengea mahotel ya nyota 5!
Itakubidi utoe laki moja na Elfu saba na uingie hasarq ya 37000!!!!? Kama ni hivi mbona biashara zote za waumini zingekuwa zinakufa.Kwa hio atatoa zaka 100k, huku akiwa amepata hasara ya 30k, after miez miwili anakuwa kafisirika, 😂😂😂
Ni kweli zaka ni muhimu ila tuwe tunatumia vichwa, hio 10% itakatwa kwa profit sio mapato, ukisema ukate kwenye mapato chances ni watu watakuwa masikini soon, yan mtu alipwe 500,000/- ya kazi, ila kuifanikisha kazi katumia 200,000/- halafu unataka 10% ya 500k hahahah hapana aisee
Piga hesabu. Hakuna zaka ya hivyo.1,000,000+70,000=(Mapato yote)
1/10 ya mapato = Mapato yote/10.
Nionesheeni mahali palipoandikwa 10% inatokana na faida niache kuchangia.
Mkuu, hatusomi biblia kwa kukariri, tunatumia na vichwa vyetu pia,Wapi pameandikwa kwenye faida?
PAYE, HESLB, NSSF na makato mengine halafu church nako wanataka 10% ya huo mshahara? Mbinguni wataenda wachache sana kwa hali hii. Kanisani nitatoa tu mchango wa ujenzi na mambo mengine muhimu ila kuhusu Zaka na sadaka nitatoa kulingana na ninavyoguswa. Ile kauli kwamba wachungaji wanakula madhabahuni naiheshimu ila nao wapambane kujiongezea vyanzo vya mapato.Kwa mfanyakazi wa mshahara, unatoa 10% ya mshahara wako maana yale ni malipo ya kazi uliyofanya, ila biashara, faida ya mtaji wako ndo unatoa 10%
Biblia kwenye zaka imetamka na ipo mifano kadhaa imeelekeza kutumika kichwa au kutokukariri labda ni kupindisha maelekezo.Mkuu, hatusomi biblia kwa kukariri, tunatumia na vichwa vyetu pia,
Wapi kwenye bible walisema ndoa ifungwe na watu wapewe vyeti? Kwanza wapi walisema ndoa ifungwe kanisani?