Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Maumiivu makali ni pamoja na huyu mleta Uzi. Huwezi kubadiri history kwa kuipachika pachika vya kuokoteza kulazimisha hoja zako. Pole yao kwa maumivu. Hasa kwa huyu scars anajaribu na kuvimba kabisa waje hapo. UmechelewaHuyo Zaka za Kazi, anaonekana ana maumivu makali kwenye moyo. Hivyo sina lolote la kusema juu ya hayo malalamiko yake.
Ndio ujue anaokoteza tu ili kuwafanya mikia angalau mupate cha kuegemea na kushangilia mwaka huuHapo kwenye list ya mabingwa ya Zakazakazi kuna Tukuyu stars na Mtibwa ambao wamesahaulika
Epl ilianzishwa mwaka gani?Muulizeni Zaka Za Kazi.
Kama Ligi Kuu ilianzishwa mwaka 1965,
Je Yanga SC (iliyo anzishwa mwaka 1935) na
Simba SC (iliyo anzishwa mwaka 1936)..zilikuwa zina fanyanini wakati wote huo wa miaka 30?
Jibu langu:-
Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania lilikuwa affiliated na CAF kuanzia mwaka 1965.
Ndipo hapo Shirikisho la soka Tanzania likaanza kujitambua kama siku yake ya kuzali.
Lakini lilikuwa likifanya kazi tangu hapo awali basi nankutotambulika kihalali kama mashirika ya soka mengine ya ulimwengu.
Hoja yake inahusu Yanga na Simba lakini anatajwa Yanga tu sawa tuache hayo vipi shirikisho letu la mpira nalo linasemaje? Maana bingwa hajitaji mwenyeweAkitumia takwimu za walioshiriki Klabu Bingwa/Ligi ya Mabingwa Afrika pekee anaweza kuwa anakosea. Nafikiri kuna wakati aliyekuwa anashiriki Klabu Bingwa ni aliyechukua Kombe la Muungano, kama sikosei kwa hiyo hapo tayari Bingwa wa Tanzania Bara alikuwa amepatikana, unless hakuwa anatambulika kama bingwa. Ila aangalie na hizo data na taratibu za kipindi kile za kupata mabingwa. Yanga wana tabia za kupotosha kwa hiyo sitashangaa kama na hili wamelilazimisha.
Ila ningependa Yanga wakumbushwe kuwa hadi mashindano ya CECAFA level ya vilabu yanasitishwa, Simba ndiyo anashikilia rekodi ya kulichukua mara nyingi.
Zinaweza zikawa hazina manufaa kwasababu upande mmoja utaenda kuonekana ni inferior kwakua utakuwa downgradedMimi naona kama anajitesa tu. Maana hizo takwimu zenyewe hazina manufaa yoyote yale!
Epl imeasisiwa mwaka 1992.Epl ilianzishwa mwaka gani?
Kaangalie umri wa Club ya Man U halafu uje ujibu hilo swali lako
Wakati huo huo shirikisho lao liliasisiwa mwaka 1863.Epl ilianzishwa mwaka gani?
Kaangalie umri wa Club ya Man U halafu uje ujibu hilo swali lako
Mkuu kaangalie list ya Club kongwe Ulaya kabla hata ligi KUU kuanza ndio utaelewa ninachokiandika.Ata sema zilikuwa zina cheza gombania ball
Ila ukiangalia mnufaika wa takwimu anazokosoa ni Yanga maana amekwangua ubingwa wao toka 29 hadi 22 na kupunguza gape kati ya Yanga na Simba kwa tofauti ya 1 badala ya 7.Hoja yake inahusu Yanga na Simba lakini anatajwa Yanga tu sawa tuache hayo vipi shirikisho letu la mpira nalo linasemaje? Maana bingwa hajitaji mwenyewe
Yaani alivyo wasahau hao wawili ndio nikajua zakazakazi ni ANDAZI.Ndio ujue anaokoteza tu ili kuwafanya mikia angalau mupate cha kuegemea na kushangilia mwaka huu
Wewe na huyo Zaka Zakazi kuna kitu mmeshindwa kuelewa. Kuna ligi ya muungano na ligi ya Tanzania bara. 29 kwa Yanga na 22 kwa Simba ambazo zinahesabiwa ni kwa makombe ya ligi ya Tanzania bara. Kuna wakati ligi ilikuwa inahusisha timu kutoka Zanzibar na kuitwa ligi ya muungano. Kuna timu zilikuwa zinachukua ubingwa wa Tanzania bara pekee na zingine zilikuwa zinachukua yote mawili kwa pamoja (Muungano na bara)Zinaweza zikawa hazina manufaa kwasababu upande mmoja utaenda kuonekana ni inferior kwakua utakuwa downgraded
Ila kwanini tuache kusema ukweli ili kuzuia takwimu za uongo zisiendelee kumea?
TFF waoga sana wanajua hii kitu itavyokuja kuleta ugomviIla ukiangalia mnufaika wa takwimu anazokosoa ni Yanga maana amekwangua ubingwa wao toka 29 hadi 22 na kupunguza gape kati ya Yanga na Simba kwa tofauti ya 1 badala ya 7.
Na pia ukitegemea TFF waje watolee ufafanuzi, utasubiri saaana. Muhimu mtu ajitolee kufanya utafiti wa kina usio na mashaka yoyote.
Ni kweli ila swali lingine, je ni sahihi kuweka pembeni takwimu za waliochukua Muungano au na zenyewe inabidi tuzijumuishe pale timu inapojigamba kuwa imechukua ubingwa mara kadhaa?Wewe na huyo Zaka Zakazi kuna kitu mmeshindwa kuelewa. Kuna ligi ya muungano na ligi ya Tanzania bara. 29 kwa Yanga na 22 kwa Simba ambazo zinahesabiwa ni kwa makombe ya ligi ya Tanzania bara. Kuna wakati ligi ilikuwa inahusisha timu kutoka Zanzibar na kuitwa ligi ya muungano. Kuna timu zilikuwa zinachukua ubingwa wa Tanzania bara pekee na zingine zilikuwa zinachukua yote mawili kwa pamoja (Muungano na bara)
Sasa hii si kama Mapinduzi tu ambayo saizi inaitwa Bonanza?Wewe na huyo Zaka Zakazi kuna kitu mmeshindwa kuelewa. Kuna ligi ya muungano na ligi ya Tanzania bara. 29 kwa Yanga na 22 kwa Simba ambazo zinahesabiwa ni kwa makombe ya ligi ya Tanzania bara. Kuna wakati ligi ilikuwa inahusisha timu kutoka Zanzibar na kuitwa ligi ya muungano. Kuna timu zilikuwa zinachukua ubingwa wa Tanzania bara pekee na zingine zilikuwa zinachukua yote mawili kwa pamoja (Muungano na bara)
Hilo ndilo jibu sahihi,, ukitaka kujua hesabu ya miti shambani hauhesabu matawi unahesabu mashina.Muulizeni Zaka Za Kazi.
Kama Ligi Kuu ilianzishwa mwaka 1965,
Je Yanga SC (iliyo anzishwa mwaka 1935) na
Simba SC (iliyo anzishwa mwaka 1936)..zilikuwa zina fanyanini wakati wote huo wa miaka 30?
Jibu langu:-
Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania lilikuwa affiliated na CAF kuanzia mwaka 1965.
Ndipo hapo Shirikisho la soka Tanzania likaanza kujitambua kama siku yake ya kuzali.
Lakini lilikuwa likifanya kazi tangu hapo awali basi nankutotambulika kihalali kama mashirika ya soka mengine ya ulimwengu.
Takwimu za Muungano zinajitegemea, ni kama tu ilivyo kwa MapinduziNi kweli ila swali lingine, je ni sahihi kuweka pembeni takwimu za waliochukua Muungano au na zenyewe inabidi tuzijumuishe pale timu inapojigamba kuwa imechukua ubingwa mara kadhaa?
Kwa nini Yanga hawajumuishi takwimu za Kombe la Muungano?