Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba kachukua mara tano (1993, 1994, 1995, 2001 na 2002Na Simba kachukua Muungano mara ngapi?
Kuna kmkm na malindi,anazungumzia bingwa wa muungano labdaHapo kwenye list ya mabingwa ya Zakazakazi kuna Tukuyu stars na Mtibwa ambao wamesahaulika
Malindi na kmkm lini wamecheza ligi kuua bara!?Ukiacha uongo uenee mwishoe huwa kawaida .....
Umeelewa kweli nilichokisema? Yanga kachukua makombe yote mawili kwa pamoja mara tano. Sasa kwanini wewe umechagua kuhesabia upande wa muungano wakati waliochukua na ligi kuu bara pia?kwaio kwenye 29 kuna 6 ya muungano na 5 ya bara waliyochukia kwa misimu hio 6 (yani makombe 11 ya ligi ndani ya misimu 6 sio?)
simba na yanga takwimu zao zina uongo mwingi
Kwa hiyo kuna uwezekano katika hizo 29 za Yanga, zimehesabiwa za Bara na za Muungano wakati katika 22 za Simba, za Muungano hazijahesabiwa?Simba kachukua mara tano (1993, 1994, 1995, 2001 na 2002
Na Muungano wa Pwani au Kosto Yunioni also Coastal UnionHapo kwenye list ya mabingwa ya Zakazakazi kuna Tukuyu stars na Mtibwa ambao wamesahaulika
Juu hapo umesema Yanga alichukua Muungano mara 6, hapa umelist miaka 5 na kuchukua mara 4.Umeelewa kweli nilichokisema? Yanga kachukua makombe yote mawili kwa pamoja mara tano. Sasa kwanini wewe umechagua kuhesabia upande wa muungano wakati waliochukua na ligi kuu bara pia?
1983
Muungano [emoji736]
Tanzanian bara [emoji736]
Mwaka 1987
Muungano [emoji736]
Tanzania bara [emoji736]
Mwaka 1991
Muungano [emoji736]
Tanzania bara [emoji736]
Mwaka 1997
Muungano [emoji736]
Tanzania bara,[emoji736]
Mwaka 2000
Muungano [emoji777]
Tanzania bara [emoji736]
Na hapo amewasahau tukuyu stars bhanyambalaAnaandika Zakazakazi,
YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22
Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na serikali kwa maana ya wizara ya michezo na baraza la michezo.
Fanyeni utafiti na mje na majibu sahihi maana siku zinavyozidi kwenda, uongo unakuwa ukweli kwa sababu watu wanaamini yasiyo sahihi.
Ligi ya Tanzania ilianza mwaka 1965 ikiitwa Klabu Bingwa ya Taifa. Hadi mwaka huu, 2023, ni miaka 58. Maana yake kuna mabingwa 58 wanatakiwa kuwepo.
Sasa kama Yanga ni mabingwa mara 29, Simba mara 22 maana yake hawa wawili peke yao wamechukua ubingwa mara 51.
Katika misimu 58, imebaki misimu 7 pekee ambayo wamechukua wengine.
Hao wengine ni wafuatao.
Cosmopolitan -1 (1967)
Mseto -1 (1975)
Pan African - 1 (1982)
KMKM - 1 (1984)
Majimaji - 3 (1985, 1986 na 1998)
African Sports - 1 (1988)
Malindi - 2 (1989 na 1992)
Pamba - 1 (1990)
TZ Prisons - 1 (1999)
Azam FC - 1 (2014)
Jumla 13
Ukijumlisha na zile 51 za Yanga na Simba, unapata 64...inawezekanaje?
Ligi iliyochezwa miaka 58 inakuwaje na mabingwa 64...hesabu za wapi hizo?
Timu zilizotajwa hapo ndiyo mabingwa wa Tanzania wanaotambuliwa na CAF na FIFA, na ndiyo walioshiriki Klabu Bingwa/Ligi ya Mabingwa Afrika katika miaka husika.
Ndiyo maana nilianza kwa kutoa changamoto kwa wadau.
Tembeleeni tovuti za CAF na FIFA muone ni timu zipi ziliiwakilisha Tanzania kwenye Klabu Bingwa/Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia 1965.
UKWELI
Yanga ni mabingwa mara 22 na Simba mara 21.
22+21= 43 - Yanga na Simba
43+13=56 - Jumla (kati ya 58)
NB: Kuna misimu miwili (1970 na 2003) Tanzania hakukuwa na bingwa.
Ndiyo maana unapata mabingwa 56 katika misimu 58.
Itaendelea...
Soma Hapa sehemu ya pili >>>>>> Sehemu ya pili
Acha mbambamba, tupe mkeka wako. Hizo bingwa 29 ni mwaka gani na kombe lilikuwa linaitwaje kila mwaka Yanga ilipotwaa. Nipo hapa nasubiri...Kwahiyo Zaka naye ni mtu mwenye akili timamu? Wapi Yanga wamesema ni Mabingwa wa Jamhuri ya Muungano? Huyu Zwaza hajui kuwa Kuna Bingwa wa Tanzania bara na Zanzibar? Halafu kukawa na Bingwa wa Muungano? Huyu Chizi muulizeni Yanga ni Bingwa wa Muungano mwaka huu? Zanzibar kuna Bingwa na Bara kuna Bingwa Sasa kipi hilli Zezeta limeshindwa kuelewa mpaka liwajaze ujinga Mbumbumbu wahed?
Zaka ndio msemaji takataka anayepambana na Yanga na kila anavyojitahidi anaambulia vipigo, akigeukia marefa anajikuta timu yake anatedeka uwanjani hadharani, Mpuuzeni huyu Zezeta nyinyi Mbumbumbu
TFF wanajua siye ni mabingwa wa kihisoria,kama hutaki wafuateAcha mbambamba, tupe mkeka wako. Hizo bingwa 29 ni mwaka gani na kombe lilikuwa linaitwaje kila mwaka Yanga ilipotwaa. Nipo hapa nasubiri...
Takwimu hapewi kipofu au Chizi anapewa mtu mwenye akili timamu.Acha mbambamba, tupe mkeka wako. Hizo bingwa 29 ni mwaka gani na kombe lilikuwa linaitwaje kila mwaka Yanga ilipotwaa. Nipo hapa nasubiri...
Soma post yangu ya kwanza katika uzi huu nilihoji pia tafiti aliyofanya nikakumbushia hilo suala la Kombe la Muungano. Utafiti wake una kasoro maana umetumia chanzo cha taarifa kisicho sahihi kwa alichokuwa anakitafuta maana si kila aliyeenda kucheza Klabu Bingwa CAF alikuwa bingwa wa bara.Takwimu hapewi kipofu au Chizi anapewa mtu mwenye akili timamu.
Ingekuwa unataka mkeka wangu ungemuuliza kwanza huyo Monitor lizard kuwa huo mwaka Malindi kawa Bingwa wa Muungano je Bingwa wa Bara alikuwa nani? Na kama Yanga ni Bingwa mwaka huu je Zanzibar hakuna Bingwa? Yanga ni Bingwa wa mara 29 wa Ligi kuu ya Tanzania Bara, Sasa wewe ni Zaka mnajipa shida gani hapo?
Hahaha, watu wanaumia sana lakini hakuna namna. Yanga imeanzishwa mwaka gani? Je ilikua haichezi ligi mpaka 1965? Jijibu hilo kwanza.Anaandika Zakazakazi,
YANGA SIYO MABINGWA MARA 29 NA SIMBA SIYO MABINGWA MARA 22
Hii ni changamoto kwa wadau wote wa soka nchini Tanzania; wachambuzi, waandishi wa habari, mamlaka za soka na serikali kwa maana ya wizara ya michezo na baraza la michezo.
Fanyeni utafiti na mje na majibu sahihi maana siku zinavyozidi kwenda, uongo unakuwa ukweli kwa sababu watu wanaamini yasiyo sahihi.
Ligi ya Tanzania ilianza mwaka 1965 ikiitwa Klabu Bingwa ya Taifa. Hadi mwaka huu, 2023, ni miaka 58. Maana yake kuna mabingwa 58 wanatakiwa kuwepo.
Sasa kama Yanga ni mabingwa mara 29, Simba mara 22 maana yake hawa wawili peke yao wamechukua ubingwa mara 51.
Katika misimu 58, imebaki misimu 7 pekee ambayo wamechukua wengine.
Hao wengine ni wafuatao.
Cosmopolitan -1 (1967)
Mseto -1 (1975)
Pan African - 1 (1982)
KMKM - 1 (1984)
Majimaji - 3 (1985, 1986 na 1998)
African Sports - 1 (1988)
Malindi - 2 (1989 na 1992)
Pamba - 1 (1990)
TZ Prisons - 1 (1999)
Azam FC - 1 (2014)
Jumla 13
Ukijumlisha na zile 51 za Yanga na Simba, unapata 64...inawezekanaje?
Ligi iliyochezwa miaka 58 inakuwaje na mabingwa 64...hesabu za wapi hizo?
Timu zilizotajwa hapo ndiyo mabingwa wa Tanzania wanaotambuliwa na CAF na FIFA, na ndiyo walioshiriki Klabu Bingwa/Ligi ya Mabingwa Afrika katika miaka husika.
Ndiyo maana nilianza kwa kutoa changamoto kwa wadau.
Tembeleeni tovuti za CAF na FIFA muone ni timu zipi ziliiwakilisha Tanzania kwenye Klabu Bingwa/Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia 1965.
UKWELI
Yanga ni mabingwa mara 22 na Simba mara 21.
22+21= 43 - Yanga na Simba
43+13=56 - Jumla (kati ya 58)
NB: Kuna misimu miwili (1970 na 2003) Tanzania hakukuwa na bingwa.
Ndiyo maana unapata mabingwa 56 katika misimu 58.
Itaendelea...
Soma Hapa sehemu ya pili >>>>>> Sehemu ya pili
Kabla ya 1965 kukikuwa na Ligi gani?Hahaha, watu wanaumia sana lakini hakuna namna. Yanga imeanzishwa mwaka gani? Je ilikua haichezi ligi mpaka 1965? Jijibu hilo kwanza.
Ila Simba eleweni sisi Yanga ni wakubwa wenu, mabingwa wa kihistoria, tumechukua ubingwa wa ligi kuu mara nyingi na tumewafunga mara nyingi zaidi. Stop trying to divert from the reality, pambameni maana mnayo miaka ya kutosha kuifuta hiyo, na mnaweza mkashindwa kuifuta hiyo historia pia.