Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Nani kauza nchi wewe? Muda wa kuomboleza umeshapita sasa hivi hata familia ya hayati ime move on.Kama unauza nchi yote unategemea nini
Huyu Jo si jamaa yako?
😂😂😂🔥
Alikuwa mgogo wa mbande.John Okello alikuwa Mkurya?
Na ndiyo maana viongozi wenu wanawaburuza watakavyoKama haujui geopolitics ndio utahisi unavyohisi, huo mchezo wa mapinduzi sio mgeni huko West Africa, huku kwetu hatuna huo upuuzi.
Au kwa lugha nyepesi hana akili kabisa
Sio kila siku ni 1960Kama haujui geopolitics ndio utahisi unavyohisi, huo mchezo wa mapinduzi sio mgeni huko West Africa, huku kwetu hatuna huo upuuzi.
Wewe endelea kutokuchoka tuu, itafutie familia yako maisha haya mengine unajisumbua tuu, ni sawa na kujamba ukiwa ume dive kwenye bahari walio beach haiwasumbui wala samaki ushuzi hautawasumbua.Sio kila siku ni 1960
Naona nyeo limeanza kukuwashaWewe endelea kutokuchoka tuu, itafutie familia yako maisha haya mengine unajisumbua tuu, ni sawa na kujamba ukiwa ume dive kwenye bahari walio beach haiwasumbui wala samaki ushuzi hautawasumbua.
Kumbe ndo dalili yake ilivyo umesumbuliwa na huo ugonjwa kwa muda gani mpaka umekuwa expert namna hiyo?Naona nyeo limeanza kukuwasha
Tunawahitaji akina John Okello, Dedan Kimanth na wengine wa aina hiyo, na wanakujaNaona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika
Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona
Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda.
Hapa bongo leo imetoka kauli tata.
Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa.
Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
Endelea kuamini hivyo unadhani mapinduzi yanafanywa na hao wenye vyeo vikubwa jeshini haapana hao umri umekwwnda na wana security ya maisha yao mara nyingi ni hao wadogo wasio na vyeo vikubwa ndio wanaopindua na hata huku inawezekanaKwa namna Siasa ya Nchi yetu inavyoendeshwa ni ngumu sana kushuhudia mapinduzi ya kijeshi.
Misingi ya Nchi yetu imewekwa kwenye mwamba imara