Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

Endelea kuamini hivyo unadhani mapinduzi yanafanywa na hao wenye vyeo vikubwa jeshini haapana hao umri umekwwnda na wana security ya maisha yao mara nyingi ni hao wadogo wasio na vyeo vikubwa ndio wanaopindua na hata huku inawezekana
Vijana wa miaka hii hawana huo ujasiri Mkuu, waliweza miaka ile akina Marehemu Captain Peter Zakaria sio hawa wa leo
 
Kama haujui geopolitics ndio utahisi unavyohisi, huo mchezo wa mapinduzi sio mgeni huko West Africa, huku kwetu hatuna huo upuuzi.
Ila tuna ushenzi wetu mwingine tu. 😂😂😂
 
Kama haujui geopolitics ndio utahisi unavyohisi, huo mchezo wa mapinduzi sio mgeni huko West Africa, huku kwetu hatuna huo upuuzi.
Kwa namna CCM inavyokaa madarakani bila ridhaa ya umma, ni aidha machafuko, au mapinduzi ya kijeshi. Bila mambo hayo kutokea, CCM itaendelea kukaa madarakani kwa shuruti. Mapinduzi ya kijeshi ndio yatawezesha kupata katiba mpya yenye maoni ya wananchi. Ni suala la muda tu lazima hilo litokee Tanzania.
 
Kwa namna Siasa ya Nchi yetu inavyoendeshwa ni ngumu sana kushuhudia mapinduzi ya kijeshi.

Misingi ya Nchi yetu imewekwa kwenye mwamba imara
Haya ndio matamanio ya kila mwizi wa kura ndani ya nchi hii. Kwa taarifa yako hiki ni kizazi kingine, CCM wamekuwa wakipora chaguzi za nchi hii, hiyo imepelekea watu kupuuza box la kura. Na kwa kuwa CCM haiko madarakani kwa ridhaa ya umma, na hawako tayari kuheshimu matokeo ya kura, machafuko au mapinduzi ndio njia pekee kwa sasa.
 
Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika

Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona

Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda.

Hapa bongo leo imetoka kauli tata.

Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa.

Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
Kati ya miaka 1960 na 1990 mapinduzi kila kona Africa.

Kule magharibi tayari manne ndani ya miaka mitatu.
 
Back
Top Bottom