Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

Naona ile miaka ya akina John Okello imerudi Afrika

Hofu ya akina John Okello imetanda kila kona

Huko kenya kuna hofu kubwa imetanda.

Hapa bongo leo imetoka kauli tata.

Huko Afrika Magharibi ni utata mtupu. Kila rais anahofu kubwa.

Je Afrika inawahitaji akina John Okello?
Kuuza bandari na rasilimali nyingine za taifa ndiko kunawaponza majizi ya CCM kuhofia kwamba watang'olewa madarakani kwa nguvu ya umma. Hii dhambi itayatafuna mpaka yanaingia kaburini.
 
Mimi naona Afrika inahitaji wetu kama Hamza Mohamed (RIP)
 
waambie hao wapumbavu wanaoota mchana, wasilinganishe nchi yetu na vitu vya ajabu. sisi tuko imara
Hawajui tu

Kuna watu wako busy 24/7 kuhakikisha hayo mambo yanaishia huko huko Afrika Magharibi.
 
This situation will come to an end, no matter what.
Ni hitaji la kila mpenda maendeleo, shida ni kwamba hawa watawala wamefanikiwa kuweka machawa wao kila mahali kwa ujira wa kuwanywesha Pombe na nyama choma.

Inahitaji miaka mingi kufikia huko
 
Acha tuendelee na zoezi labda akili itatia akili…
Watawala wa Africa wamekuwa mwiba kwa maendeleo ya Africa.
 
Back
Top Bottom