Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

Maranyingi wahenga husema historia Huwa inajirudia.
 
Usemacho ni sahihi lakini sio kwa kizazi hichi kinachoendekeza Uchawa kwa ujira wa Beer za bure .....

Fikiria ni Vijana wangapi hawana ajira Nchi hii, lakini umewahi kusikia hata wakiandamana?

Kumbuka tangu 2015 hadi 2021 Wafanyakazi wa Nchi hii hawakuwahi kupewa ongezeko la mshahara, vipi ulisikia wakiandamana?

Kizazi cha majasiri kiliishia Mwaka 1983, hawa wengine wote ni kondoo tu
 
Viongozi ndio chanzo cha majanga yote Afrika.
ufisadi wakishirikiana na mataifa ya kigeni huku wakizidi kuwafukarisha raia wao.
Wanajiwekea Kinga na Sheria zinazowalinda wao dhidi ya wananchi wao. Afrika nazani tuna laana
Ni bora ufanye ufisadi maana ukiondoka unaiacha nchi, sasa mtu anauza kila kitu.., its a whole different case this time.., na matokeo ya haya ni lazima yawe very radical.., huwezi ukauza nchi ukabaki salama, nyie mmewahi kuona wapi?!
 
This situation will come to an end, no matter what.
 
Usitarajie kisichowezekana Dogo!
 
Kwa namna Siasa ya Nchi yetu inavyoendeshwa ni ngumu sana kushuhudia mapinduzi ya kijeshi.

Misingi ya Nchi yetu imewekwa kwenye mwamba imara
waambie hao wapumbavu wanaoota mchana, wasilinganishe nchi yetu na vitu vya ajabu. sisi tuko imara
 
nyie ni mazuzu tu, endeleeni kujidanganya
 
Tanzania ya Ufipa labda... punguza kuota mchana ukiwa macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…