Zama za akina John Okello zimerudi Afrika. Kila taifa linahofia Mapinduzi. Ufisadi ndio kichocheo cha Mapinduzi

Kuuza bandari na rasilimali nyingine za taifa ndiko kunawaponza majizi ya CCM kuhofia kwamba watang'olewa madarakani kwa nguvu ya umma. Hii dhambi itayatafuna mpaka yanaingia kaburini.
 
Mimi naona Afrika inahitaji wetu kama Hamza Mohamed (RIP)
 
waambie hao wapumbavu wanaoota mchana, wasilinganishe nchi yetu na vitu vya ajabu. sisi tuko imara
Hawajui tu

Kuna watu wako busy 24/7 kuhakikisha hayo mambo yanaishia huko huko Afrika Magharibi.
 
This situation will come to an end, no matter what.
Ni hitaji la kila mpenda maendeleo, shida ni kwamba hawa watawala wamefanikiwa kuweka machawa wao kila mahali kwa ujira wa kuwanywesha Pombe na nyama choma.

Inahitaji miaka mingi kufikia huko
 
Acha tuendelee na zoezi labda akili itatia akili…
Watawala wa Africa wamekuwa mwiba kwa maendeleo ya Africa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…