DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Unamfundisha tabia mbovu.Kibongo bongo ....ukiendekeza undugu- karaha hazitokuisha. Kimbia kaa mbali nao.
Alyways family comes first.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamfundisha tabia mbovu.Kibongo bongo ....ukiendekeza undugu- karaha hazitokuisha. Kimbia kaa mbali nao.
Binadamu ni social beingNilichojifunza kwa Tanzania hii ukijifanya mwema unatoa misaada inajiingiza kwenye matatizo na chuki maana wengine unawasaidia kiroho Safi kumbe wanachukia, wengine wanaenda hata kukuloga ili uangamie, maana kutoa msaada wanaona unaringa,ni Bora wakukomeshe ili mkose wote wakucheke. Dunia hii Bora kuwa na roho mbaya, kwanza watu watakuogopa sana
Subiri ufeUkisha kufa maiti yako ikisuswa unajuaje? Au asaini iwe cadaver muhimbili vijana waitumie kujifunzia
TujifunzeUko njeMa kweli upstairs!??Unatushirikisha hapa ili iweje!?
MkuuPole sana mkuu. Ungetuambia basi walikukosea nini sasa.....
Mimi kuishi kibandidu minding my bussiness ndio furaha yangu maana sijali ya wengine, ukijifanya mwema unajiingiza kwenye matatizoBinadamu ni social being
Kuishi kibandidu kunasababisha stress na vifo vya mapema.
Hii hoja naiunga mkono 100% by experience kabisa. Ninapitia changamoto kubwa sana japo hata mafanikio yenyewe sina! Ukiwa na ukoo masikini sana ukawa wa kwanza kupata kiugali kiduchu cha serikali ndugu wanakuvagaa hawataki kusikia majibu ya 'sina hela' wala 'subiri wiki ijayo', ngoma ni on the spot! Kuna wakati natamani kuacha kazi hii ya kimasikini inayonijazia chuki na lawama tu.Kitu kigumu sana kwenye haya maisha ya kijamaa, ni wewe ndo uwe mtu wa kwanza kufanikiwa kwenye familia au ukoo wenu.
Aisee, acha niishie hapa!
Hakuhudhuria kikao, japo hakutoa udhuru.Hii kauli ya "usitufokee" kikao cha wanaume tumekubaliana tuwaachie wanawake, naomba usiitumie tena mkuu
Unanitisha mkuuMimi kuishi kibandidu minding my bussiness ndio furaha yangu maana sijali ya wengine, ukijifanya mwema unajiingiza kwenye matatizo
Sikutishi nimeshakutana na hii issue kwa watu zaidi ya tano Tena wakiongea na chuki kubwa behind my back. Wenye roho mbaya ndo hu surviveUnanitisha mkuu
Nipo hewani boss.....sema nakuwa nasoma text halafu sicomment ila nipo hewanjMkuu
Mbona sikuoni whatsapp kwenye lile gruup ?
Kuna age utafika utagundua impact ya hizi mbwembwe zako za ubandidu....Mimi kuishi kibandidu minding my bussiness ndio furaha yangu maana sijali ya wengine, ukijifanya mwema unajiingiza kwenye matatizo
Hahaaa bandindu oyee. Mimi sijali bwana I know to act according to different environment, Ila mazoea sipendiKuna age utafika utagundua impact ya hizi mbwembwe zako za ubandidu....
Mmmmmmhmn unabiti kama tule tudogi tunatobaleheHahaaa bandindu oyee. Mimi sijali bwana I know to act according to different environment, Ila mazoea sipendi
Kuna wadau wanamis sana uwepo wakoNipo hewani boss.....sema nakuwa nasoma text halafu sicomment ila nipo hewanj
You creating a self isolated familyKwa kuwajua aina ya ndugu wanaonizunguka nilitengeneza namna ya wao kubaki mbali nami na mimi kuwa mbali nao na imenisaidia sana,siwalaumu na wao hawanilaumu japo hawaishi vitimbi vya fitna
Na namshukuru mola kwa kunipa kizazi kwani nawafundisha na kuwaaminisha watoto kuwa kwa idadi yao wanaweza kutengeneza na kuendesha clan lao bila kuomba kuwajua ndugu wengine
Nimebakisha watoto na mke kwa mbaali kuwa ndo watu wangu wa karibu
Atajuaje kama wamesusia ihali amekufa? Watakaopata taabu ni hao ndugu wenyewe.Ngoja ndugu zako waje kususia maiti yako ukajizike na pesa zako ndipo utajua umuhimu wa ndugu!