nilikuwa najua rais ni mtu mwenye akili nyingi kupita wote......
Mimi nilikuwa najua padre hanyi maana anavaa kanzu na anandisha mambo ya MUNGU.
Mimi nlikuwa naogopa ntakapokufa ntakuwa napumuaje ntakapofunikwa kaburini.
ndio ujinga wake huobabu umechapia, mwanaume hatoi mayai, anato mbegu. ukitoa mayai ww utakuwa wa kwanza.
Kuna dogo class kwenye hili swali la kinyume alijaza kama hivi:-
1. Njaa = anja
2. Kulia = aliku
3. ...
Nimekumbuka enzi izo nipo class tatu shule ya msingi BARAA huko Ar tuliambiwa kinyume cha neno SIMAMA si nkasema MAMASI?
hahaha aisee nimechekaje
Mimi nilikua naogopa kumtaja Nyerere eti nitakamatwa
Mimi nilikua naogopa kumtaja Nyerere eti nitakamatwa
nilikuwa naamini ukioga maji ya MOTO baada ya Ku'DU' huwezi kupata ukimwi
Mimi nilikua naogopa kumtaja Nyerere eti nitakamatwa
JF full kuniongezea siku za kuishiunabahati hukumtaja, kwani ilikuwa unakamatwa kweli, coz ilikuwa ni sawa na sasa ivi useme hadharani mshua amenaniliu
pumbafu 2shakupoteza ww