Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaaaaa haaaaaaa nimeipenda hiiMm nilikuwaga nalia mara nyingi eti nimepoteza mfuko wa daftari kumbe nimebeba mgongoni! C mnazikumbuka zile sport za kubebea daftari? Hahahahahahaa! Enzi zile ni noma
labda amezaliwa mkubwa hivyo hivyoKama ni kweli inaelekea sasa hivi ndo umekua mjinga..
Mpaka leo nikimwona mwanamke mwenye mimba/mjamzito najua tayari kashafanya ngono! Teh teh teh!
Mimi hadi leo mjinga, naamini ukitaka fanikiwa ktk maisha yako au biashara zako lazima uwe kada wa ccm.
Mi nilikuwa na akili
sitakaa nisahau enzi hizo utoto akili yote ilijaa mapicha/movie, kwenye pepa moja kulikua na maswali ya kuandika kinyume mf, nene-nyembamba, kuna swali tukaambiwa kinyume cha adui nikajibu stelingi.