lilah
Member
- Sep 30, 2011
- 18
- 5
Mimi mpaka leo najua JK ni rubani wa ndege!
hahahah, una kitu nae wew
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mpaka leo najua JK ni rubani wa ndege!
sitakaa nisahau enzi hizo utoto akili yote ilijaa mapicha/movie, kwenye pepa moja kulikua na maswali ya kuandika kinyume mf, nene-nyembamba, kuna swali tukaambiwa kinyume cha adui nikajibu stelingi.
Mimi nilijua ng'ombe ni binadamu alielemaa
kuna jamaa alitudanganya 2kipanda pesa utaota mti mkubwa sana wa pesa nasi tutatajirika! Tukafukia mia tano chini ya udongo na kukojolea et tunamwagilia mbegu* tuliporud shule tukakuta shimo 2 na hakuna pesa....jamaa alishafukua na kuchukua pesa
Ni kiona Magari yanawaka taa wakati majumbani hamna umeme, nilikua nikisema TANESCO WANAWAPENDELEA Wenye Magari........
mimi nilikuwa nadhani zile picha za ukutani sebuleni wazazi walikuwa wakiniona hivyo nilikuwa naogopa kudokoa chochote kilichopo sebuleni:becky:
sitakaa nisahau enzi hizo utoto akili yote ilijaa mapicha/movie, kwenye pepa moja kulikua na maswali ya kuandika kinyume mf, nene-nyembamba, kuna swali tukaambiwa kinyume cha adui nikajibu stelingi.
ha ha ha haNilipokua mdogo,Ilikua kombe la dunia nikasikia jamaa amefunga goli la kuotea,Hivyo limekataliwa! Niliwaza kweli,REFA alijuaje kama jamaa ameota kuwa leo atafunga goal???