Zamani ukisikia siku ya Bajeti ilikuwa Talk of the Town, Nchi ilizizima, siku hizi habari utaziona kwa uchache sana

Huyo Magufuli ndio chanzo Cha watu kuacha kufuatilia hilo bunge na siasa. Yeye ndio alikuwa analazimisha Kila siku habari zake zitangazwe. Kila mara utasikia vituo vya redio na tv wanajiunga kurusha matangazo ya rais. Aliishia kujigamba na kumwaga vitisho huku akitengeneza kundi la watu wa kumnyenyekea kama Mungu mtu.

Lakini ukiangalia bado kulikuwa na kundi kubwa lililokuwa linamsikiliza Ili limponde, na sio kwa mvuto wake. Kwa sasa hakuna anayependwa sana Wala kuchukiwa sana, hivyo kundi kubwa halina hamasa tena ya kufuatilia hayo maigizo.
 
Shida ni bajeti na wasoma bajeti.
Hakuna la maana kwenye hiyo bajeti wala hawana maana hao wasoma bajeti.
 
Kuanzia bajeti yenyewe mpaka bunge zima siku hizi kheri uangalie porn videos za Mia Khalifa na Tory lane kuliko kuangalia na kusikiliza bunge na content zake.
 
CHADEMA.
 
Tatizo mleta mada sio mfanyabiashara au consultant WA biashara
Bajeti inabeba tenda za biashara ukisikia mwaka ujao tunataka kujenga hospital ina maana kutakuwa na tenda za ujenzi,visa tiba NK

Au matrekta hakutakuwa na ushuru NK unajua kama mfanyabiashara au mkulima mkubwa ufanye nini

Mleta mada lofa
 
Umetupiga kwa uongo hapa.
 
Kuna kipindi taarifa ya habari ilkua lazima ufatilie kama ufatiliavo movies hasa za series
 
Kuanzia bajeti yenyewe mpaka bunge zima siku hizi kheri uangalie porn videos za Mia Khalifa na Tory lane kuliko kuangalia na kusikiliza bunge na content zake.
We dogo acha mchezo mchafu huo utakuharibu Ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…