Zamani ukisikia siku ya Bajeti ilikuwa Talk of the Town, Nchi ilizizima, siku hizi habari utaziona kwa uchache sana

Uko sahihi kabisa, lakini hali hii inaweza kuwa imepelekewa na mambo ya viongozi wetu wanaokuwepo madarakani. Mfano mzuri tuu hivi unakumbuka awamu ya hayatti magufuli namna watu walijawa na hamu ya kufuatlia vyombo vya Habari kaka kutafuta Habari za nini setikali imefanya siku husika, serikali inajambo gani, na rais sna hotuba gani. Ukweli ni kuwa watu wamekata Tamaa na nchi Yao hawaoni haja ya kufuatlia mambo ya siasa tena kutokana na ujinga wa baadhi ya viongozi wenye Nia ovu na nchi yetu.
Huyo Magufuli ndio chanzo Cha watu kuacha kufuatilia hilo bunge na siasa. Yeye ndio alikuwa analazimisha Kila siku habari zake zitangazwe. Kila mara utasikia vituo vya redio na tv wanajiunga kurusha matangazo ya rais. Aliishia kujigamba na kumwaga vitisho huku akitengeneza kundi la watu wa kumnyenyekea kama Mungu mtu.

Lakini ukiangalia bado kulikuwa na kundi kubwa lililokuwa linamsikiliza Ili limponde, na sio kwa mvuto wake. Kwa sasa hakuna anayependwa sana Wala kuchukiwa sana, hivyo kundi kubwa halina hamasa tena ya kufuatilia hayo maigizo.
 
Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.

Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.

Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.

Siku hizi habari za Bajeti huzisikii sehemu yoyote wala mitaani.

Habari naona heading to Hapa Jukwani na mimi sijalifungua na lina wachangiaji na wasomaji wachache sana.

Hadi Msoma Bajeti anajaribu Kuvuta attention kwa kufananisha Note na jezi ya team ya mpira ili kupata kiki za kuforce.

Enzi za Dkt. Mkulo habari ingekuwa nyingine.

Je tatizo ni Watanzania kushadadia mipira, sanaa na miziki na kuacha mambo ya msingi au Shida ni Bajeti na wasoma bajeti.

Hili nalo mkalitazame wana nzengo

PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Shida ni bajeti na wasoma bajeti.
Hakuna la maana kwenye hiyo bajeti wala hawana maana hao wasoma bajeti.
 
Hii kitu kuna mtu nilikuwa namwambia jana

Zamani siku ya kusomwa bajeti Nchi yote inakuwa na hali ya ukimya...
Sehemu zenye TV watu walikuwa wanajaa wanafuatilia....Wengine unawakuta wako na headphones masikioni wanasikiliza...Na inakuwa ni mjadala kila mahali..

Siku hizi sasa....Tumewezwa na mambo ya Simba na Yanga...Na wameshatujua na ndiyo huko wanapohakikisha mambo yanakuwa sawa tuendelee kupoteza muda...Tukishtuka hadi ardhi walizonunua wazee wetu vijijini huko zimeshauzwašŸ˜„
Kuanzia bajeti yenyewe mpaka bunge zima siku hizi kheri uangalie porn videos za Mia Khalifa na Tory lane kuliko kuangalia na kusikiliza bunge na content zake.
 
Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.

Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.

Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.

Siku hizi habari za Bajeti huzisikii sehemu yoyote wala mitaani.

Habari naona heading to Hapa Jukwani na mimi sijalifungua na lina wachangiaji na wasomaji wachache sana.

Hadi Msoma Bajeti anajaribu Kuvuta attention kwa kufananisha Note na jezi ya team ya mpira ili kupata kiki za kuforce.

Enzi za Dkt. Mkulo habari ingekuwa nyingine.

Je tatizo ni Watanzania kushadadia mipira, sanaa na miziki na kuacha mambo ya msingi au Shida ni Bajeti na wasoma bajeti.

Hili nalo mkalitazame wana nzengo

PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
CHADEMA.
 
Tatizo mleta mada sio mfanyabiashara au consultant WA biashara
Bajeti inabeba tenda za biashara ukisikia mwaka ujao tunataka kujenga hospital ina maana kutakuwa na tenda za ujenzi,visa tiba NK

Au matrekta hakutakuwa na ushuru NK unajua kama mfanyabiashara au mkulima mkubwa ufanye nini

Mleta mada lofa
 
Umetupiga kwa uongo hapa.
 
Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.

Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.

Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.

Siku hizi habari za Bajeti huzisikii sehemu yoyote wala mitaani.

Habari naona heading to Hapa Jukwani na mimi sijalifungua na lina wachangiaji na wasomaji wachache sana.

Hadi Msoma Bajeti anajaribu Kuvuta attention kwa kufananisha Note na jezi ya team ya mpira ili kupata kiki za kuforce.

Enzi za Dkt. Mkulo habari ingekuwa nyingine.

Je tatizo ni Watanzania kushadadia mipira, sanaa na miziki na kuacha mambo ya msingi au Shida ni Bajeti na wasoma bajeti.

Hili nalo mkalitazame wana nzengo

PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Kuna kipindi taarifa ya habari ilkua lazima ufatilie kama ufatiliavo movies hasa za series
 
Kuanzia bajeti yenyewe mpaka bunge zima siku hizi kheri uangalie porn videos za Mia Khalifa na Tory lane kuliko kuangalia na kusikiliza bunge na content zake.
We dogo acha mchezo mchafu huo utakuharibu Ubongo
 
Back
Top Bottom