Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahsante Mkuu! ππππNyie ni katika Wachache mliobaki
Wewe Una shida wahindi Leo wakijifungia ndani wanasikiliza bajeti toka mwanzo hadi mwisgi kuangalia kuna fursa gani za kibiashara ziko kwenye bajetiUmetupiga kwa uongo hapa.
Bro mie sio dogo bhanaa.We dogo acha mchezo mchafu huo utakuharibu Ubongo
Mitano tena ππ€!
Wamebubujikwa na machozi ya furaha..bajeti imenyoka vilivyo watanzania wamelipuka kwa furaha mioyoni mwao
Acha uongoWewe Una shida wahindi Leo wakijifungia ndani wanasikiliza bajeti toka mwanzo hadi mwisgi kuangalia kuna fursa gani za kibiashara ziko kwenye bajeti
Wewe hujui kitu kuwa Leo bajeti za nchi zote za jumuiya ya Afrika mashariki zimesomwa muda mmoja ili kuepuka nchi engine isitengeneze bajeti ya kuvizia nwenzie nchi ingine Ku overtake
Kesho wahindi Wana kikao kizito na ma Consultant wahindi kuangalia hiyo bajeti kuna fursa gani zilizomo wazitumie
Shauri yako wewe unawaza bajeti kama nyongeza Tu ya mshahara kinatua WA serikalini wewe
Bro mie sio dogo bhanaa.
Mimi ninaelezea uhalisia,tizama bunge la miaka kadhaa nyuma na tizama na bunge la sasa la mbunge kubinuka sarakasi bungeni vinafanana!?
Bunge la sasa halina mantiki halina context.
HUO NDIO UHALISIA.
Raila hana akiliππMkafinya makende ya bunge.
HahahaSiasa zimekuwa nyingi na hawasikilizi wananchi sasa hiyo hamu ya kufatilia bajeti inatoka wapi?
Inasikitisha sanaWatanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao
Umesema ukweli kabisa mwamba!We gave up, this government . it's not for the people.
Watu tumewaachia nchi yao wafanye watakavyo.
ππππSijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.
Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.
Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.
Siku hizi habari za Bajeti huzisikii sehemu yoyote wala mitaani.
Habari naona heading to Hapa Jukwani na mimi sijalifungua na lina wachangiaji na wasomaji wachache sana.
Hadi Msoma Bajeti anajaribu Kuvuta attention kwa kufananisha Note na jezi ya team ya mpira ili kupata kiki za kuforce.
Enzi za Dkt. Mkulo habari ingekuwa nyingine.
Je tatizo ni Watanzania kushadadia mipira, sanaa na miziki na kuacha mambo ya msingi au Shida ni Bajeti na wasoma bajeti.
Hili nalo mkalitazame wana nzengo
PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Watu wamekata tamaa Kila siku ni afadhali ya Jana.Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.
Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.
Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.
Siku hizi habari za Bajeti huzisikii sehemu yoyote wala mitaani.
Habari naona heading to Hapa Jukwani na mimi sijalifungua na lina wachangiaji na wasomaji wachache sana.
Hadi Msoma Bajeti anajaribu Kuvuta attention kwa kufananisha Note na jezi ya team ya mpira ili kupata kiki za kuforce.
Enzi za Dkt. Mkulo habari ingekuwa nyingine.
Je tatizo ni Watanzania kushadadia mipira, sanaa na miziki na kuacha mambo ya msingi au Shida ni Bajeti na wasoma bajeti.
Hili nalo mkalitazame wana nzengo
PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Iko dhahiri shairi kabisaWatu wamekata tamaa Kila siku ni afadhali ya Jana.