Zamani ukisikia siku ya Bajeti ilikuwa Talk of the Town, Nchi ilizizima, siku hizi habari utaziona kwa uchache sana

Umetupiga kwa uongo hapa.
Wewe Una shida wahindi Leo wakijifungia ndani wanasikiliza bajeti toka mwanzo hadi mwisgi kuangalia kuna fursa gani za kibiashara ziko kwenye bajeti

Wewe hujui kitu kuwa Leo bajeti za nchi zote za jumuiya ya Afrika mashariki zimesomwa muda mmoja ili kuepuka nchi engine isitengeneze bajeti ya kuvizia nwenzie nchi ingine Ku overtake

Kesho wahindi Wana kikao kizito na ma Consultant wahindi kuangalia hiyo bajeti kuna fursa gani zilizomo wazitumie

Shauri yako wewe unawaza bajeti kama nyongeza Tu ya mshahara kinatua WA serikalini wewe
 
We dogo acha mchezo mchafu huo utakuharibu Ubongo
Bro mie sio dogo bhanaa.
Mimi ninaelezea uhalisia,tizama bunge la miaka kadhaa nyuma na tizama na bunge la sasa la mbunge kubinuka sarakasi bungeni vinafanana!?
Bunge la sasa halina mantiki halina context.
HUO NDIO UHALISIA.
 
Acha uongo
 
Attachments

  • Odinga Bunge.mp4
    9.3 MB
Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.

Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.

Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.

Siku hizi habari za Bajeti huzisikii sehemu yoyote wala mitaani.

Habari naona heading to Hapa Jukwani na mimi sijalifungua na lina wachangiaji na wasomaji wachache sana.

Hadi Msoma Bajeti anajaribu Kuvuta attention kwa kufananisha Note na jezi ya team ya mpira ili kupata kiki za kuforce.

Enzi za Dkt. Mkulo habari ingekuwa nyingine.

Je tatizo ni Watanzania kushadadia mipira, sanaa na miziki na kuacha mambo ya msingi au Shida ni Bajeti na wasoma bajeti.

Hili nalo mkalitazame wana nzengo

PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Ukisha kosa mvuto,hakuna mtu ambaye atakuwa na habari na wewe.Bunge halina mvuto sababu ya upumbavu.
 
Wenzetu wanakimbizana na teknoljia sisi ndio kwanza tunapandisha gharama za magari ya umeme,huku tukiwaumiza watumiaji wa gesi ya magari
 
Sijajua kama ni shida ya Watanzania au shida iko kwenye bajeti zenyewe.

Ama Watanzania wamesusa baada ya kuona hazina maana sana kwao au ni ujinga tu wanahitaji kuelimishwa.

Zamani tukiwa vijijini ukisikia leo Bajeti ya Nchi itasomwa Nchi nzima masikio na Macho ilikuwa Dodoma.

Siku hizi habari za Bajeti huzisikii sehemu yoyote wala mitaani.

Habari naona heading to Hapa Jukwani na mimi sijalifungua na lina wachangiaji na wasomaji wachache sana.

Hadi Msoma Bajeti anajaribu Kuvuta attention kwa kufananisha Note na jezi ya team ya mpira ili kupata kiki za kuforce.

Enzi za Dkt. Mkulo habari ingekuwa nyingine.

Je tatizo ni Watanzania kushadadia mipira, sanaa na miziki na kuacha mambo ya msingi au Shida ni Bajeti na wasoma bajeti.

Hili nalo mkalitazame wana nzengo

PIA SOMA
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Watu wamekata tamaa Kila siku ni afadhali ya Jana.
 
Back
Top Bottom