Zamani viwanja vilikuwa unaamka asubuhi unaenda kuwahi, ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki hadi sasa

Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.

Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.

Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .

Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.

Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.

Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.

Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Watoto wako watasema hivyohivyo kwako. Kwamba mashamba unaweza kununua hela kwa lali moja. Lakini hukununua.
 
Dogo umejilaani mwenyewe. Shule tumekupeleka, kazi tumekutafutia bado unataka kurithi ardhi. Akili yako wewe kazi yake Ni Nini. Pumbaff
 
Kizazi kilicho pita (unacho kisema) na hiki hakuna utofauti wowote, nasisi tusubilie kuja kutwikwa lawama za namna hii.
Uko sawa,kabisa mkuu baadae izi,lawama watatwikwa wengi,zaidi ya,kizazi kilichopita na,hawa,wanaoijiita kizazi,Z ndo,shida tupu na,pengine watu wakakumbuka ya,kale kuliko yaliyopo au yanayokuja.
 
Hata kizazi kijacho kitatushangaa kizazi cha sasa ilikuaje tukaamini hizi dini tulizonazo, yaani mtu mzima na akili timamu unaambiwa Nuhu aliwafungia wanyama wote kwenye safina kwa takribani mwaka mzima na unaamini iyo story ni ya kweli.!

Wajukuu zetu watatushanga ilikuaje tukawaachia CCM miaka 60+ ya kuongoza nchi pamoja na maboko yote wanayotoa kila siku

Ndio evolution iyo mkuu, akili ya binadamu inabadilika kulingana na nyakati
 
Uko sawa,kabisa mkuu baadae izi,lawama watatwikwa wengi,zaidi ya,kizazi kilichopita na,hawa,wanaoijiita kizazi,Z ndo,shida tupu na,pengine watu wakakumbuka ya,kale kuliko yaliyopo au yanayokuja.
Hiki kizazi kinachojiita generation Z maarufu kama watoto wa 2000 nafikiri ndio kizazi cha ovyo zaidi kutokea katika nchi hii
 
Licha ya kwamba wachangiaji wengi wamejaribu kukupinga lakini mada yako ina Ukweli mchungu Sana. Wakati wa miaka ya 1950-1980's Ardhi ilikuwa inapatikana kwa urahisi Sana hapa Tanzania, tena ilikuwepo ya kutosha Sana, lakini Watu wengi wa nyakati hizo hadi leo wengi wao hawana ardhi wanayomiliki.
Kupata ardhi sio shida, shida ni kuzalisha.
Ndugu zangu walipewa ardhi heka 50 kila mtu za kulima mpunga Moro ila kuziendeleza ilikuwa ngumu sana wakazitelekeza mpaka leo.
Wazee wengi walitelekeza ardhi.
Lakini kuna watu hata vijana wametelekeza mashamba ya wazazi wao mfano nenda wilaya ya Rungwe mashamba ya ndizi mengi yametelekezwa na vijana/ watoto waliohamia Dar na mikoani.
Tanzania bado kuna ardhi. Njombe unapata ardhi kwa laki 100. Ila ni kikometa za kutosha kutoka mjini.
Wazee wetu walikuwa masikini na hawakuwa na mbadala. Wewe unaeona umuhimu wa ardhi kanunue kigoma, Tsbora, Mbeya chunya, Njombe, Songea. Katavi miaka 5 tu ikipita ilikuwa inakaribisha wawekezaji kwa kuwapa ardhi watu bure ili waweze kuendeleza mkoa wao. Sasa wewe kijana kwa nini huendi Mkoa wa katavi kuchukua kununua ardhi ya bure unabski kulaumu wazazi.
Kisheria mzazi anaweza amua asikurithishe hio ardhi, kikubwa tafuta vyakwako.
Billigate aliwahi sema kuzaliwa masikini sio kosa lako, kosa lako ni kufa masikini.
 
Nakuelimisha kwa mtazamo mwingine.

1.Kisheria Mali za wazazi wako si zako. Wakiwa na ardhi ekari 9,000+ elewa si zako. Wakitaka wanakupatia, na wakikunyima si kosa. Na huwezi wafanya chochote. Tafuta vyako.

2.Wakihisi Mtoto wao ni mjonga na roho mbaya Kama unavyoonyesha wanaweza Andika wosia hata ukiwaua usipate kitu. Tafuta vyako. Kwani ardhi na Mali zingine zimeisha Hadi ulaumu wazazi wako.

3. Wazazi wakishakulea kufikia 18+ wametimiza Wajibu wao.
Kijana miaka 20 + unawaza kurithi ardhi ya wazazi wako?
NYIE NDO MNAUA WAZAZI WENU
HAKIKA UMESHALANIWA.
 
Hiki kizazi kinachojiita generation Z maarufu kama watoto wa 2000 nafikiri ndio kizazi cha ovyo zaidi kutokea katika nchi hii
Hamna mtu wa kuhangaika na CCM wakati nyie wazee mlikua wajinga mkawapa madaraka hivyo pambana na Hali yako naona umasikini umekuvuruga akili
 
Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.

Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.

Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .

Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.

Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.

Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.

Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Kama unatamani vya kuachiwa hutoacha kitu duniani
 
Sio wote walikuwa wazembe. Mfano mikoa mingi ilikuwa haina miundombinu ya kusafirisha bidhaa hivyo hata ulime vipi utakula mwenyewe. Watu hawakuwa wengi sana kama sasa chochote unaweza kuuuza.
Chama tawala ccm kiliwadumaza.
Kumbuka hata sasa chama tawala kinadumaza mambo mengi ambayo yatakuwa lawama kwa wote huko mbeleni.
Wazee wetu walidanganywa sana na kundi la wasomi, hawakuwa wakipima maendeleo yao binafsi hivyo walikiamini chama na viongizi hata kama hawaleti maendeleo.
Wazee wetu walijengwa ktk falsafa ya ujamaa. Hawakuamini ktk kumiliki mali nyingi, hivyo kumiliki ardhi haikuwa ishu.
Wazee wetu hawakuwa na hamasa kama sasa.
Hata sasa kuna ardhi ila sio kila mtu anaweza kuimiliki au kuinunua. Kuna watu wanamiliki ardhi ila mitaji hawana.
Nimependa response yako imetulia na haina upande
 
Mkuu kwani hao wazazi wetu walikatazwa wasisome? Watasingizia wazazi wao hawakuwa na uwezo wa kuwapeleka shule sio?
Vipi kwa wasomi waliotokea koo masikini lakini bado walikuja kutusua kimaisha kwa kukaza msuli tu na sio utajiri wa familia zao kama wakina Mzee Warioba, Jaji Butiku na Hayati Benjamini Mkapa?
Hatukatai maisha ya zamani yalikuwa magumu kuliko sasa, ila pata fursa ya kuzungumza na hao wazee unaowatetea watakwambia walivuoula ujana wao na wengi wanakiri wazi waliendekeza bata maana hakuna kiwanja msondo watapiga unawakosa.
Amini nakwambia Mabishoo wa zamani ndiyo wanaongoza kwa maisha ya kichovu kama vile wanyoa viduku wa leo watakavyokuja kuitupia lawama serikali miaka ijayo.
 
Warioba, Jaji Butiku na Hayati Benjamini Mkapa?
Una uhakika hawa walitokea familia masikini ? Zamani drs lilikuwa mwisho la 4 kisha wanapelekwa middle school kwa mchujo mkali.
Ni kama leo ukiulizwa kwa nini hujaenda kusoma havard au oxford wakati wenzio wanaenda kusoma huko kila mwaka ?
Hivi ukiulizwa kwa nini hujaunda kitu chochote cha maana wakati kuna wenzio kama wewe huko India china wanaunda vifaa mbali mbali utajibuje ? Kwa nini wewe sio tajiri na haufahamiki wakati kuna mitandao ya kijamii inampa mtu umaarufu sekunde ?
Maswali ni mengi sana yanayokuhusu wewe na wakati wa sasa na uneshindwa kutimiza, ni hivyo hivyo wazee wako walishindwa.
Watu wa dini wanasema Myngu ndio muweza wa yote. Wengine wanasema utajiri au mafanikio ni bahati.
 
Mada ni kumiliki ardhi na kumudu uchumi binafsi, yaani kutokuwa mzigo kwa uzao wako.
Hivi unajua kuna zamani kulikuwa na wigo mpana wa ajira tofauti na sasa na wazee wengi walikuwa wanachagua kazi kwa kujazana ujinga?
Kwa mtu aliyezaliwa 1950 unajua wengi wao walipata umri wa kuajiriwa nchi tayari ikiwa imepata uhuru tofauti na hizo simulizi unazoleta sijui za middle school et al.
Hivi una habari kuna watu waliajiriwa kuwa watendaji kwa sifa ya kujua kusoma na kuandika tu ila wengi walikataa kuwa hawataki kufanya kazi vijijini?
Unafahamu kuna watu waliajiriwa kwenye Majeshi kwa sifa za kadi ya umoja wa vijana tu, yaani unakuta mtu hajui kusoma wala kuandika anatia sahihi kwa dole gumba na bado alikula ajira?
Una habari mashirika ya umma chini ya Serikali ya Tanganyika kama vile NMC, TRC na Tanganyika packers yalimwaga ajira kwa sifa ya kuwa raia tu unalamba ajira bila hata usaili yaani kama vile unaandikishwa shule?
Wapo waliokubali ajira za wakati huo na wakatumia vibaya vipato vyao mwisho wa siku wakawa na majuto, wapo waliokataa hizo ajira wengine ndiyo wakaanza michezo ya kuzamia kwenda ulaya wapo waliotoboa na wapo walioishia jela.
Wengi wanaoyumba kwasasa aidha ubishoo, uvivu, matumizi mabaya ya vipato vyao na kuchagua ajira ndiyo kumewafanya kuishi kilofa hii leo na hakuna cha kuilaumu Serikali maana hakuna kipindi nchi ilikuwa haina changamoto ya ajira kama kipindi hiko, labda kwa kizazi hiki ndiyo kweli changamoto ya ajira imeanza kushamiri tena mostly kuanzia awamu ya 5 tofauti na hapo awali ambapo ilikuwa ukimaliza kusoma ualimu au udaktari ni mwendo wa kushinda kwenye tv tu ukisubiria post.
Majeshi ndiyo usiseme ilikuwa sifa damu na nguvu hata darasa la 7 anakula C/no.
Usiwatetee hao wazembe Mkuu waliouchezea ujana
 
Umeamdika general sana, bahati mbaya ni hadithi za kusikia. Hakuna data za kuthibitisha kuwa ajira zilikiwa nyingi kuliko wahitaji.
Ajira zenyewe zilikuwa na mshahara mkubwa kiasi gani ili mtu aweze kumudu maisha ? Ajira za vibarua ndio ajira za kumtoa mtu ?
Kiufupi ajira za sasa ni nyinngi kuliko zamani na ndio maana sasa mtu anaweza kujiajiri mda wowote akiamua. Sasa hivi kila kitu ni ajira hadi uchawa, kukata viuno, kutembea tu nayo ni ajira.
Ni kitu cha ajabu sana kuamini zama za giza kulikuwa na ajira nyingi kiliko zama za teknolojia.
Kila watu na zama zao, ishi zama zako, mbona mwewe hawarithishwi chochote ila wanaishi sembuse binadamu aliezungukwa na fursa kibao. Fursa zote zipo hata ardhi ipo. Kuna watu wazazi wao hawakumiliki ardhi kariakoo ila sasa hivi wana ardhi kariakoo., ukitaka hata london au newyork utamiliki ardhi ni akili yako tu, acha lawama. Rlob Musl jazaliwa Africa huku leo anamiliki ardhi USA wewe upo wapi ? Akili, Akili, Akili huu ndio urithi mkubwa kutoka kwa wazazi wetu.
 
Back
Top Bottom