Hii ndo ulipaswa uipinge kulazimishwa ila kama anaenda Kwa hiari yake sio.Zamani huku ulichoandika hakikuwepo.
Mwanamke huweza KUTOLEWA mahari yàani kununuliwa na Mtu àmbaye hata hakuwa akimjua.
Zamani Ndoa za kulazimishwa zilikuwa NI nyingi Mno, tenà karibia zote zilikuwa Ndoa za kulazimisha. Kilichoangaliwa NI Mnunuzi atatoa shillingi ngapi, yàani mwenye mahari kûbwa ndiye atakayeoa Binti.
Hiyo ya Mwanamke kujua anaenda na kuamua pakuolewa haina hata Karne Moja toka ianze
Mahari sio bei ya kununua mtu hizo elimu mnazosoma kijinga jinga za kukariri ndizo zinekufikisha hapo ukasoma kakingereza bride price unakuja wangu wangu na mada ya kijinga
Mahari elewa sio pesa pekee watu wanalipa mahari ng'ombe hadi 50
Mahari ni kionyeshi cha kama mume mtarajiwa ana uwezo wa kutunza mke
Lakini kwa wewe kwa kuwa huna mpango wa kuoa na huwezi kuoa wewe hilo linaeleweka waachie wenyewe waoaji sababu kwenye hilo kundi la wanaume waoaji humo pamoja na kuwa na jina la kiume
Kwa hîyo mtazamo wenu huo ndio unawafanya mnunue Wanawake?
Hakuna manunuzi hapo, wewe ndio umejenga mawazo mabaya na huu utaratibu.Kwa hîyo mtazamo wenu huo ndio unawafanya mnunue Wanawake?
Chanzo cha kulazimisha ni mahari Kwa hîyo ninapinga chanzo.Hii ndo ulipaswa uipinge kulazimishwa ila kama anaenda Kwa hiari yake sio.
Kingine Cha kupingwa ni Ile kutofautiana mahari na kusababisha uchumba kufa hii haipo sawa kikubwa kama wamekubaliana wao iwe hivo Kwa mahali yoyote Ile.
Andiko lako lipo sawa ukiamua umtoe Bure sio kosa Wala ukiamua upokee mahari sio kosa. Ni wewe mwenyew utakavyo jisikia
MahaRi anapewa mchumba au mke na sio mzaziWazazi wenye akili timamu hawawez kuchukua mahali
Hakuna manunuzi hapo, wewe ndio umejenga mawazo mabaya na huu utaratibu.
Je umefanya utafiti wanawake wenyewe wanasemaje kuhusu mahari?
Na je athari za ndoa ya mahari na ambayo haitakuwa na mahari zikoje?
MahaRi anapewa mchumba au mke na sio mzazi
Na huko sio kumnunua bali atanunua mahitaji yake au hata dhahabu wengine tunatoa kama mahari
Mzazi anapewa hela ya mboga tu
Na mtoto ana uhuru wa kuondoka kana ndoa inamshinda na hadaiwi na mtoa mahari
Hapo kanunuliwa vipi
Labda wenzetu wanao katazwa kabisa kutoa Talaka
Hatari SanaHiyo ni kweli halafu wanadai haki sawa ndani ya Ndoa!
Kwa Waislam boss, tunatoa mahari kwa kuafiki mahari anayotaja mwaliMahari ya Wapi hiyo Mkuu?
Labda Kwa Waislam lakini hiyo Sheria ya kiislam haitumiki kwèñye jamii za kibantu.
Watu watafunga Ndoa ya kiislam lakini mahari itatamkwa kijadi
Niwie radhi Mkuu
Umebahatika kuwa na Wazazi wote wawili (Me na Ke)? Kama hautajali unaweza kumuuliza Bi Mkubwa(Kama yu angali hai) kama aliolewa Kwa kutolewa mahari ama alichukuliwa bure kwenda kuishi na Mzee?
Tunaweza kujadili mambo ya Ndoa na mahari na kumbe mwenzetu Mtibeli hajaoa wala hana mpango wa Kuoa 🙌
Kwa Waislam boss, tunatoa mahari kwa kuafiki mahari anayotaja mwali
Na utailipa tu na kumkabidhi yeye na sio mzazi
Mzazi hahusiki
Kuhusu mila na jadi hayo ni mengine na sijawahi toa wala kujua
Huna unachokijua kuhusu mahari ndo maana kila mara unakuja na hii mada iki mradi uonekane umeandika.Inaonekana kuna mwanamke ulimtaka mahari ikakushinda.
Ni kuchagua moja aidha wafuate Dini au Mila lakini huwezi changanyaNenda mkoani kaoe muislam wsa kichaga au kisukuma uone kama utaratibu WA mahari utakaozingatiwa ni WA jadi au kiislam.
Juzi hapa nilimsikia sheikhe mmoja akikemea Watu kuchanganya Mila za kijadi na Uislam akazungumzia Hilo la mahari
Kibao kigeuke, wanaume nao wauzwe kwa wanawake kama India.
Tuishie HapaWatumwa walikuwa wanauzwa Mpaka Laki Moja wewe Unazungumzia Milioni zote hizô.
MTU hauzwi anayeuzwa na binadamu asiye na Ûtu
Niende Wapi Wakati kîla Siku Naona Watu wanauza na kununua Watu.
Nishakuambia biashara ya kumuuza Mwanamke huitwa Mahari.
NI Sawa usemè mnyama anazaa alafu Mtu anajifungua lakini tukio ni lilelile.
Au mnyama anakunya Mavi alafu Mtu anajisaidia Kinyesi, Jambo ni lilelile lakini lugha Moja imewekwa Kwa staha ili Kulinda heshima ya Mtu.
Ndîo hicho, mahari ni lugha ya staha inayobeba maana ya kumuuza au kumnunua Mwanamke
Nimeshafanya chunguzi ndîo maana nimeandika Jambo hili.
Ninachoandika NI uhalisia
Kwa hîyo wewe mzazi wako kama aliwahi kufanya Kosa Fulani utashindwa kusema Kwa sababu Mzazi wako alifanya?
Au wewe unaweza Fanya Jambo Fulani àmbalo NI Kosa Kisa mababu zako walikuwa wakilifanya?