Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Nakuunga mkono mkuu.


Sisi vijana wa sasa tukiskia watu walofanikiwa na kuskiliza historia zao vifuani mwa watu basi hua tunafkiria kila kitu rahisi.


Laiti tungelijua njia ambazo hao watu waliofanikiwa bas tusingesema maneno ya uozo ya kupeana moyo.




Hata yule ambae alilala akaota anakua billionaire na akaamka akiwa kweli billionaire hio ndoto yake sisi vilaza hatuwezi kuivumilia mpaka kuimalizia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanao kama hana akili hata ukimnyima smartphone atafeli tu.
Lakini kama ana akili atajua muda gani atumie simu na muda gani asome.
Hii ni personal experience sio hadithi za kufikirika.
Nakubaliana na wewe kufeli ni kubaya.
Mkuu nimekuelewa Ila kwa akili nyingi za watoto na ndugu zetu amini mungu simu zinawapotosha.

Mfano ni kwa bro wangu mdogo ana akili ya kusoma ili alishiriki sana simu term ya Kwanza alifanya vibaya na wazee wakamuekea ngumu kwenye sim na wakaanza kumhimiza kwenye masomo amini mungu juzi matokeo yanatoka anafurahia alichokivuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichosema kupata Zero sio mwisho wa maisha. Aidha unarudia au unafanya chochote ili ufanikiwe hamna anaejali. Kufeli form 4/6 sio mwisho wa maisha.
Tafsiri unayoIJUA wewe sio tafsiri pekee.
Kuna ambao walikosa cheti form Four Ila saiv ni captain na ni bwamdogo.



Ila maisha lazima ujitume na ukomae sio rahisi kma wanavyofkiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe, nimesoma na watu ambao baada ya kupata simu walianza kufeli kwasababu ya addiction hao yapaswa wazuiwe kutumia simu kwa nguvu zote kwa sababu hawana uwezo wa kujitawala.
Kama smartphone na IG ndio imechangia poor perfomance ya Paula basi mzazi ni wa kulaumiwa sababu ni wajibu wake kutambua mapema kama mwanae anaweza kumanage masomo at the same moment using a phone.
 
Watanzania tunatakiwa tuelewe "kufeli sio mwisho wa maisha"
Yeye amefeli mitihani lakini kila mtu katika maisha kuna mahali alisha wahi kufeli
Wangapi walisha feli lakini leo hii hata waliopata 1 hawafikii maendeleo yao.
Mifano mingi ipo hapa tz

Kama ni kweli ana 4 ya 26 ana wide choice.
Kipindi hicho kusoma A levo ilikuwa unaonekana umekamilika tofauti na wanao enda diploma. Lakini ukija ki utendaji walio soma diploma na kuunga degree wana kitu kikubwa wanawazidi walio enda direct.

Dunia imebadilika sanaa.elimu ya darasani haitoshi kukupa mafanikio kwenye maisha
Only basic education na elimu kubwa ya maisha itakufanya ufanikiwe


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kuishi vizuri na kufanikiwa kimaisha, kuishi vizuri ndo mnamaanisha, ila kufanikiwa kimaisha ni step nyingine sana, mtoto wa kajala anaweza akaishi vizuri km mfano dem wa diamond anaishi vizuri ila hauwez kusema kafanikiwa kimaisha, so km nia ni kuishi vizuri hata haitaji kuwa na elimu yeyote, akitaka kufanikiwa kimaisha anabidi aache michezo michezo afanye elimu yake amalize aongeze upeo wa akili yake elimu ya darasani inasaidia sana kuongeza upeo wa akili binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bill gates, zackburg, na steve jobs waliacha chuo sio kufail. Watu wanatakiwa watofautishe kufail na kudrop out kwa kuacha sio kufail. Dont wait mpaka ufail ndo uanze kukandia elimu, hiyo inakuwa a very lame excuse

Sent using Jamii Forums mobile app
ungekuwa kanisani kwetu.....ningekwambia umenena vyema mtumishi.....yaani wakisha feli ndo waaanza kusema kufeli shule sio kufeli maisha sasa kama walijua mwanzo kwanini alimpeleka shule akapoteza muda wote huo si bora angemtafutia kibanda mwaka wa nne huu angekuwa mbali
 
Zama nae ana nin si type hizo hizo tu....kutumia sehemu za siri kuishi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…