Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

kama una mtoto wakati hujaolewa wewe ni single mother hapo hakuna ndoa sema mnataka kupasha kiporo
 
Okey!
 
Kumbe kweli ha ha ha nafaa kuwa mganga wa kienyeji! Hongera kwa ndoa na wewe mbona umekomaa na baba mtoto na si mtu mwingine? Ukweli mchungu
Kwamba unahisi maneno yako yanaweza nimove mimi.... mpuuzi kweli hata ningetaka kutoa ningetoa tu nacheza na miso daily.... mtoto kazaliwa na tumeamua kuhalalisha.. tungeshindwana nae angelala mbele vile vile maisha ni kuishi na kuchagua...
Akili ya uboya kama wewe ilimpitia pembeni.
Hovyoooooooooooooooo kujifanya unajua huku umening'iniza korodani huko chini zimebeba sperms za kukuzalia watoto... Chunga sana watoto wako wasikudisappoint...
 
kama una mtoto wakati hujaolewa wewe ni single mother hapo hakuna ndoa sema mnataka kupasha kiporo
Definition ya single mother/parent unaijua au unabwabwaja tu????
Unaleta uarabu na umagharibi hapa... mtu anayejulikana pande zote mbili na kakamilisha tamaduni husika ni mke na mume.
A proud mom and wife to be huku nikiendelea kuachieve my goals bila kutetereka.
 
mwanaume hata akiwa na watoto 10 sio sababu ya kuoa mwanamke mwenye watoto!
Kwahiyo hao wamama 10 aliozalisha wakae tu wazeeke bila mahusiano just because wamezalishwa na gume gume moja.
Maisha ni kuishi na kuchagua, kama wewe priority yako ni mtu hajazaa usizalishe na usiwatoleshe mimba watoto wa watu....
Waache wenye vigezo vyao wanaoona mama mwenye mtoto/watoto sio kitu kikubwa kwao.
 
mgande sana huyo jamaa yako akikuacha imekula kwako wanaume adimu sana siku hizi na wanawake wenye watoto soko lao limeisha
 
Atakayekuoa ana hasara, no wonder alikuzalisha kwanza na ukiendelea kuwa hivi utaisikia radioni ndoa kama umezalishwa na mwanaume na si mvulana au marioo
 
Hongera zamaradi kwa kuamua maamuzi magumu maana kupambana na uchumba sugu sio mchezo.

Kila la kheri ndoani
Alishachelewa siku nyingi...sidhani kama atapata furaha ylya ndoa anayoitamani.
 
mgande sana huyo jamaa yako akikuacha imekula kwako wanaume adimu sana siku hizi na wanawake wenye watoto soko lao limeisha
Sihitaji kumganda sababu sio akili mgando kama wewe na kizuri nimezungukwa na hao unasema hawana soko wameolewa na bado wenyewe binafsi wana maisha standard sio kajamba nani
Pambana na hali yako na mahusiano yako....
It takes 2 to tangle... and we both invest in our relationship so well.
 
Atakayekuoa ana hasara, no wonder alikuzalisha kwanza na ukiendelea kuwa hivi utaisikia radioni ndoa kama umezalishwa na mwanaume na si mvulana au marioo
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.... utayap yap sana behind the keyboard huku aina ya maisha usiyoyaamini yakiendelea kupeta machoni mwako....
Kwa ushauri anzisha counselling centre uwaokote your fellow negative minds.
 
Huo ni mfano Tosha Kwa wanawake.ukiona hakieleweki move on kisa umezaa ukahisi hautopendwa tena. Kumbe riziki ipo kwengine.hongera zake ingawa nilihisi yeye na ruge angekomaa nae.kumbe alishajichokea.
Ilikuwaje akakubali kuzaa naye. Tatizo siyo kuachana ila kukubali kuzaa bila ya commitment yoyote ya ndoa.Sidhani kama ataweza kifurahia ndoa huko alikoolewa.
 
Atakayekuoa ana hasara, no wonder alikuzalisha kwanza na ukiendelea kuwa hivi utaisikia radioni ndoa kama umezalishwa na mwanaume na si mvulana au marioo
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.... utayap yap sana behind the keyboard huku aina ya maisha usiyoyaamini yakiendelea kupeta machoni mwako....
Kwa ushauri anzisha counselling centre uwaokote your fellow negative minds.
 
Update uzi wako.... naona shilawadu wamekuja na yao... mjini kuna mambo... wacha tuendelee kujifunza na kuburudika na public figures
Shilawadu wanasema sio mtoto wa majaliwa bali ni Shamba boy aka house boy wa majaliwa ila kamdanganya zama kwamba ni mtoto wajaliwa.
 
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.... utayap yap sana behind the keyboard huku aina ya maisha usiyoyaamini yakiendelea kupeta machoni mwako....
Kwa ushauri anzisha counselling centre uwaokote your fellow negative minds.
Yaani wewe mwanamke utakua una stress sana, Mange type huwezi kujenga hoja bila kashfa au kutukana! Angalia comments zako ndio utajua nani ana negativity! Mwenyewe hapo juu umesema tukawasome Shilawadu na nimeenda nakuta alichoandika kwenye hiyo story hana tofauti na nilichokiandia na wewe umekiamini na kusema hauhami mjini! Sisi wanaume tunahitaji tuzo yaani kuna mtu unaishi naye hadi mmezaa na tabia hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…