Rosie Hayatta
Member
- Feb 25, 2016
- 7
- 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama una mtoto wakati hujaolewa wewe ni single mother hapo hakuna ndoa sema mnataka kupasha kiporoKameze wembe kama imekuuma, kwa taarifa tu sio single mother na nipo mbioni kuolewa na baba wa mtoto wangu.
Sio lazima kitu kinitokee Mimi ndo nihusike, boya uliyetukuka ni wewe kujifanya unajua hisia za mwanaume mwenzio.... yatakushinda mzee mzima. Na siku wanao watazalishwa au wataoa maajuza ndo utaelewa.
Mtu wa hovyo hovyo sana wewe kulazimisha mawazo yako yawe ndio reference standard.
Mtcheeeeew ndo kashaoa sasa na ndoa itadumu kwa upendo na furaha kaanzishe uconsellor kwa ndugu zako wa kike na wakiume.... mtcheeeeeeeeew sand brain
mwanaume hata akiwa na watoto 10 sio sababu ya kuoa mwanamke mwenye watoto!Mwanamme naye ana mtoto mmoja tatizo lipo wapi?. Halijakukita. Mfano wewe umeoa. Mara paap mke kafariki kakuachia watoto. Ina maana huyaoa
Ni bahati sana ukipata single mother mtulivu na msikivu wengi huwa hivyo mwanzo baadae kidogo kila atakachofanya ni kwa ajili ya "mwanae na we wako uwatafutie baba wa mtoto yule mwingine huwa rafiki bora zaidi kuliko wewe labda awe kafariki bora hivi vinavyokuwa vinadhibitika kuliko single mother
Ntakupa kadi ya mwaliko.... ndoa Januarykama una mtoto wakati hujaolewa wewe ni single mother hapo hakuna ndoa sema mnataka kupasha kiporo
Kwamba unahisi maneno yako yanaweza nimove mimi.... mpuuzi kweli hata ningetaka kutoa ningetoa tu nacheza na miso daily.... mtoto kazaliwa na tumeamua kuhalalisha.. tungeshindwana nae angelala mbele vile vile maisha ni kuishi na kuchagua...Kumbe kweli ha ha ha nafaa kuwa mganga wa kienyeji! Hongera kwa ndoa na wewe mbona umekomaa na baba mtoto na si mtu mwingine? Ukweli mchungu
Definition ya single mother/parent unaijua au unabwabwaja tu????kama una mtoto wakati hujaolewa wewe ni single mother hapo hakuna ndoa sema mnataka kupasha kiporo
Kwahiyo hao wamama 10 aliozalisha wakae tu wazeeke bila mahusiano just because wamezalishwa na gume gume moja.mwanaume hata akiwa na watoto 10 sio sababu ya kuoa mwanamke mwenye watoto!
mgande sana huyo jamaa yako akikuacha imekula kwako wanaume adimu sana siku hizi na wanawake wenye watoto soko lao limeishaDefinition ya single mother/parent unaijua au unabwabwaja tu????
Unaleta uarabu na umagharibi hapa... mtu anayejulikana pande zote mbili na kakamilisha tamaduni husika ni mke na mume.
A proud mom and wife to be huku nikiendelea kuachieve my goals bila kutetereka.
Atakayekuoa ana hasara, no wonder alikuzalisha kwanza na ukiendelea kuwa hivi utaisikia radioni ndoa kama umezalishwa na mwanaume na si mvulana au mariooKwamba unahisi maneno yako yanaweza nimove mimi.... mpuuzi kweli hata ningetaka kutoa ningetoa tu nacheza na miso daily.... mtoto kazaliwa na tumeamua kuhalalisha.. tungeshindwana nae angelala mbele vile vile maisha ni kuishi na kuchagua...
Akili ya uboya kama wewe ilimpitia pembeni.
Hovyoooooooooooooooo kujifanya unajua huku umening'iniza korodani huko chini zimebeba sperms za kukuzalia watoto... Chunga sana watoto wako wasikudisappoint...
Alishachelewa siku nyingi...sidhani kama atapata furaha ylya ndoa anayoitamani.Hongera zamaradi kwa kuamua maamuzi magumu maana kupambana na uchumba sugu sio mchezo.
Kila la kheri ndoani
Sihitaji kumganda sababu sio akili mgando kama wewe na kizuri nimezungukwa na hao unasema hawana soko wameolewa na bado wenyewe binafsi wana maisha standard sio kajamba nanimgande sana huyo jamaa yako akikuacha imekula kwako wanaume adimu sana siku hizi na wanawake wenye watoto soko lao limeisha
Naona baada ya kula mapapai yakutosha umeona nawewe utupie komentiAkufatitilie nani wewe usiejulikana, waache wajulikanao wafatiliwe
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.... utayap yap sana behind the keyboard huku aina ya maisha usiyoyaamini yakiendelea kupeta machoni mwako....Atakayekuoa ana hasara, no wonder alikuzalisha kwanza na ukiendelea kuwa hivi utaisikia radioni ndoa kama umezalishwa na mwanaume na si mvulana au marioo
Ilikuwaje akakubali kuzaa naye. Tatizo siyo kuachana ila kukubali kuzaa bila ya commitment yoyote ya ndoa.Sidhani kama ataweza kifurahia ndoa huko alikoolewa.Huo ni mfano Tosha Kwa wanawake.ukiona hakieleweki move on kisa umezaa ukahisi hautopendwa tena. Kumbe riziki ipo kwengine.hongera zake ingawa nilihisi yeye na ruge angekomaa nae.kumbe alishajichokea.
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.... utayap yap sana behind the keyboard huku aina ya maisha usiyoyaamini yakiendelea kupeta machoni mwako....Atakayekuoa ana hasara, no wonder alikuzalisha kwanza na ukiendelea kuwa hivi utaisikia radioni ndoa kama umezalishwa na mwanaume na si mvulana au marioo
Shilawadu wanasema sio mtoto wa majaliwa bali ni Shamba boy aka house boy wa majaliwa ila kamdanganya zama kwamba ni mtoto wajaliwa.Update uzi wako.... naona shilawadu wamekuja na yao... mjini kuna mambo... wacha tuendelee kujifunza na kuburudika na public figures
Yaani wewe mwanamke utakua una stress sana, Mange type huwezi kujenga hoja bila kashfa au kutukana! Angalia comments zako ndio utajua nani ana negativity! Mwenyewe hapo juu umesema tukawasome Shilawadu na nimeenda nakuta alichoandika kwenye hiyo story hana tofauti na nilichokiandia na wewe umekiamini na kusema hauhami mjini! Sisi wanaume tunahitaji tuzo yaani kuna mtu unaishi naye hadi mmezaa na tabia hiziKelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.... utayap yap sana behind the keyboard huku aina ya maisha usiyoyaamini yakiendelea kupeta machoni mwako....
Kwa ushauri anzisha counselling centre uwaokote your fellow negative minds.
Ni vyema aolewe na mwanaume mwenye watoto pia.[emoji86] [emoji86] kwa hiyo mwanamke akishazaa hapaswi tena kuolewa?