Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!


Mmmh ila hapo kwenye bilioni mi uvumilivu ungenishinda nauza titi moja maana yapo mawili ila ni kawaida tu hahaha
 
Wanaume wa kitanzania mnatia aibu...mwanamke akifanya maisha yake mkaona yanaenda sawa roho zinawauma mpk mnatia huruma! Mara kazaa mara mkubwa ! Wangap madada zenu wamezalishwa nyumbani na mnatamani wapate wenza wao? Ooh mara siwez kuoa mwanamke aliezaa aliyewaambia aliemuoa hana watoto ni nani? Na hata asingekua nao inawahusu? Yaone mmekalia umbea tu na kuumiza roho kwa vitu vicvyo na mcngi..nia yenu ni wanawake wateseke mbaki kuchekelea na kujiona wanaume! Zama hizo zishapita wanawake wameerevuka muda yaan unamwaga mboga wenyewe wanamwaga ugali habari za kubabaikia wanaume mataira hazipo tena! Na mtaumia roho sana mwaka huu! Tena wengine mnakazana kuropoka wakati ni watoto wa nje ya ndoa..km sio mama zenu walizalishwa na kuachwa wakalea wenyewe..mnataka mama zenu wadhihakiwe pia? Shwain kabisa nyinyi akili zote mmezimalizia chooni!
 
Kijana kaopoa kongoro, huyo itakua karogwa. Wenzako wamezalisha watoto wawili yy anajitia kupotezea alaf baada ya Mwaka itaanza kumuuma kimoyo moyo anajikuta anaongeza mke wa pili kuziba nafasi ya maumivu.
Labda na yeye ana matoto kibao!
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
[emoji86] [emoji86] kwa hiyo mwanamke akishazaa hapaswi tena kuolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…