GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mtoto wa ndugu yake na Majaliwa. Siyo mtoto wa Majaliwa
Tanzania hata ukiwa unaishi nyumba jirani na Nyerere utaambiwa ni Mtoto wa Nyerere au Ndugu yake Nyerere. Nimefurahi ulivyomsahihisha hapo Mkuu.