Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Tunaweza tukiwezeshwaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]jamani ma mkwe uko sahihi kabisaa dear!kuugua sio kufa wanakufa wazima daily wanabaki hao wanaoambiwa wana ugonjwa. In short ni wivu tuu!
Nawaombea wapendwe na wadada wanaospoil wataelewa
 
Daah aise jamaa kaula.. saivi atazichakata mpaka achoke. Maana wanawake watamiminika kwake kutaka kujua ni kipi hasa alicho nacho mpaka apendwe kiasi hicho..! 😄
Nikimcheki Jamaa namuona wa Kawaida Sana Kulinganisha na huyo Zamaradi. Tena Jina la Shabani ni kama Mwamedi. Anyway Bro unabahati sana
Huyo jamaa ni mpwa wa Waziri mkuu usimkadirie boss
 
Mwaka wa pili sasa.
Whatsapp profile nimeweka ya Mr.
Nadhani hata watu watakuwa wanajichanganya wanajua mwenye no ni Mr.
Ila Zamaradi kanipiku.
Kanifanya nionekane boyaaaaaaa....
 

Hata sasa ukimuangalia zama unaona yupo kama mgonjwa tu,ni bahati mbaya tu hutokea kwenye maisha
 
Huku mtaani wanaume tunakutana na wadada konki, wasio na mioyo ya kupenda mtu yoyote, na hao wadada wanawakilisha asilimia 98 ya wanawake wote duniani Mzigua90
 
Hajiamini ndio maana kaweka tangazo
 
Kila mtu afanye linalompa furaha, kama Zamaradi kwa kufanya hivyo amefurahi basi ni vizuri. Kama baby wake kafurahi kutundikwa msalabani(bango) basi ni heri tu.

Sioni sababu ya watu kuona wivu, rather tufurahie wadada wanaanza kujitoa kwa ajili ya babez wao. Hilo bango is worth millions of TSH ambazo kwa kawaida mdada kuitoa ili kumfurahisha baby ni mbingu na ardhi.

Kudos kwa Zama!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…