Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Kuna wanawake wanampongeza Zamaradi humu, tena naona wanajimegea mapande "mwanamke akipenda kapenda kweli ".

Mimi nina swali kwa dada zangu JF hivi zawadi kubwa kumpa mpenzi wako (ukiondoa, soksi, leso na boksa),ilikuwa kitu gani?

Kuna wengine wakumbuki lini washawahi kuwapa zawadi wapenzi wao.Bango hilo mnaliona hapo mil 6 kwa mwezi moyo huo mnao dada zangu wa JF.
Tunaweza tukiwezeshwaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]jamani ma mkwe uko sahihi kabisaa dear!kuugua sio kufa wanakufa wazima daily wanabaki hao wanaoambiwa wana ugonjwa. In short ni wivu tuu!
Nawaombea wapendwe na wadada wanaospoil wataelewa
 
Daah aise jamaa kaula.. saivi atazichakata mpaka achoke. Maana wanawake watamiminika kwake kutaka kujua ni kipi hasa alicho nacho mpaka apendwe kiasi hicho..! 😄
Nikimcheki Jamaa namuona wa Kawaida Sana Kulinganisha na huyo Zamaradi. Tena Jina la Shabani ni kama Mwamedi. Anyway Bro unabahati sana
Huyo jamaa ni mpwa wa Waziri mkuu usimkadirie boss
 
Mwaka wa pili sasa.
Whatsapp profile nimeweka ya Mr.
Nadhani hata watu watakuwa wanajichanganya wanajua mwenye no ni Mr.
Ila Zamaradi kanipiku.
Kanifanya nionekane boyaaaaaaa....
 
Wadada mnakuaga wagum sana kuamin mambo..unaambiwa kabisa yule bwana ana ngoma achana nae husikii..mwisho wa siku unayavagaa unalaumu..aisee...mim huyo dada namjua kuliko unavyodhan..niishie hapa..na huyo jasiri muongoza way..nishafanya nae had kazi fulan fulan..so nawajua fika..na the whole industry ya entertainment inajua ...wako kimya tu..ni wewe tu dada angu ndo hujui...au useme kama unataka umbea(in warumis voice...RIP).. sawa..hahaha

Hata sasa ukimuangalia zama unaona yupo kama mgonjwa tu,ni bahati mbaya tu hutokea kwenye maisha
 
Sema hujapata wa kukufanyia mambo ya ngwengwe mnasema nyiee madokta wa mtaani. Msimseme mtu hali yake ya afya wakati hujampima na huna majibu yake. Sana sana mnakua mnamuonea wivu jamaa kupendwa. Maana Zama akitaka bwana wa maana zaidi anampata vizuri tu ila ndo kampenda fundi garage wake.

Jikazeni kina kaka na nyie mtakuja mpate kina Zama
Huku mtaani wanaume tunakutana na wadada konki, wasio na mioyo ya kupenda mtu yoyote, na hao wadada wanawakilisha asilimia 98 ya wanawake wote duniani Mzigua90
 
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.

Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.

View attachment 2118894

Zama amesema kuwa mumewe Bwana Shabani alifurahi sana alipompeleka eneo la tukio hadi machozi kumtoka.

View attachment 2118895

Bango hilo litakaa kwa muda wa mwezi mzima.

Note: Madanga ya shemeji yetu yajipange pamoja na mke mkubwa (kama yupo) mwenzao kawazidi kete bango kuubwa kama tangazo la Condomu.
Hajiamini ndio maana kaweka tangazo
 
Kila mtu afanye linalompa furaha, kama Zamaradi kwa kufanya hivyo amefurahi basi ni vizuri. Kama baby wake kafurahi kutundikwa msalabani(bango) basi ni heri tu.

Sioni sababu ya watu kuona wivu, rather tufurahie wadada wanaanza kujitoa kwa ajili ya babez wao. Hilo bango is worth millions of TSH ambazo kwa kawaida mdada kuitoa ili kumfurahisha baby ni mbingu na ardhi.

Kudos kwa Zama!!
 
Back
Top Bottom