Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam


Zamaradi ana pesa gani? Kwa mishe gani unayoijua?

Huyo Shabanii unamfahamu?

Kwa ufupi sana: Shabanii ni kijana wa familia ya Kasimu (Prime Minister), na ana mke mwingine.

Hilo tu litoshe kukuamsha kuwa Zamaradi yuko pale kimchongo tu, na anatumia nguvu nyingi mno kujishikiza…. pia kujitekenya na stress alizopigwa na Nandy kwa Ruge.

Sasa nyie mnaomwona Shabanii wa kawaida sijui mnazingatia sura au umaarufu, mwenzenu anapigania royal fame ya familia.

The less you know the better.
 
Sawa
 
Uko sahii San mkuu Ni stress hzo siyo mapenz single maza
 
M
Mi nilifikiri ki watu wa karibu unawafahamu maana umechambua haswa
Usifikiri mambo ni rahisi hivyo rafiki yangu, kuwa na ndugu mwenye wadhifa au utajiri kuwa ndio

Huyo jamaa ni mpwa wa Waziri mkuu usimkadirie boss
Hawana undugu alikuwa mfanyakazi wa nyumbani kwa mwimishiwa na kuangalia miradi kule namungo
 
Mbna marehemu hakufanyiwa hvyo
Swali zuri sana. Ila yasijeyakayokea mambo ya kimaisha tukasikia anahitaji michango tu!
Hiyo hela ingekaa fixed deposit ingesaidia watoto baadaye. Kumbuka baba hayupo…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…