Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Kama alichumbiwa akiwa Singo Mother, anastahiki kuweka zawadi ya Bango. Maana ni wanaume wachache sana wanapenda kuoa na kuhudumia Mke na Mtoto aliezalishwa na mwanaume mwingine.
Ilitakiwa atengeneze tangazo kama lile la chai jaba yaani bango lipeperushwe na helicopter far nzima waone 😆😆😆
 
Hata sasa ukimuangalia zama unaona yupo kama mgonjwa tu,ni bahati mbaya tu hutokea kwenye maisha
Tena ukikutana nae live ndo unaweza shtuka...hyo industry ni balaa..usiwaone kwenye tv na wasap..live wanatisha hao..huyo gigy..sjui amba lulu sjui nan. Tena lulu diva ndo naendaga had kwenye genge lake la kishua pale kwa mwamunyange namkuta mara nying sanaaa..hawapo kama unavyowaona kwenye tv ...huyo zuchu ukikaona ni kama katoto kabisa yan..huwez amin..maua sama ndo balaaa..ruby ndo usiseme..huyo linah kuna siku nkawa namwangalia lips zake nasema hiv hawa madem wana matatzo gan..lips zmekatika katika balaa...yaan acha tu hawa wasanii..industry imeoza...hao wote niliokutajia nshakutana nao had kuongea nao...na wengne nmewaacha nmewastiri hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamaradi ana pesa gani? Kwa mishe gani unayoijua?

Huyo Shabanii unamfahamu?

Kwa ufupi sana: Shabanii ni kijana wa familia ya Kasimu (Prime Minister), na ana mke mwingine.

Hilo tu litoshe kukuamsha kuwa Zamaradi yuko pale kimchongo tu, na anatumia nguvu nyingi mno kujishikiza…. pia kujitekenya na stress alizopigwa na Nandy kwa Ruge.

Sasa nyie mnaomwona Shabanii wa kawaida sijui mnazingatia sura au umaarufu, mwenzenu anapigania royal fame ya familia.

The less you know the better.
Hana mahusiano mazuri na familia ya mume kabisaaaaa.
 
Mwaka wa pili sasa.
Whatsapp profile nimeweka ya Mr.
Nadhani hata watu watakuwa wanajichanganya wanajua mwenye no ni Mr.
Ila Zamaradi kanipiku.
Kanifanya nionekane boyaaaaaaa....
Wachache wenye ujasiri wa kukiri kama wako hongera sana
 
Nadhani katika hili yako mengi ndani ya moyo wa huyu dada ambayo hatuyajui..
Sio kawaida kuna kitu kimefichika katika hisia zake ambapo ni yeye pekee na Mungu wake anakijua
 
Back
Top Bottom